Mapenzi kweli kizungumkuti,yanayonikuta yanautesa sana moyo wangu.
KUna msichana ambaye ninampenda sana toka siku nyingi na yeye aanalijua hilo,ila kila nikimueleza juu ya hisia zangu uu yake yeye huishia kusema NAKUPENDA ILA HATUWEZI KUWA PAMOJA KWAKUWA HAUNA KAZI,HUNA PESA.
Hiki kitu kinaniumiza sana kwani kukosa kwangu kazi na kukosa pesa kunanifanya nimkose mtu ninayempenda kwa dhati,pia najiuliza hivi siku hizi ndio mapenzi hayawezakani tena mtu aspokuwa na pesa/kazi?ndugu mwana-jamvi,fikiria kama wewe ndio ungekuwa umepata na situation kama hii inayonikumba mimi ungefanyaje?(kumbuka hii ni very true story)

Ndugu nakushauri usisikitike, kwanza ushukuru mungu anakuokoa na huyo mtu maana hata ukipata kazi mambo yako yakawa mazuri siku ukipata matatizo atakukimbia hivyo ni bora ukakaa mbali naye. Hata hivyo sidhani kama ni nyema kuwa na mchumba ambaye unategemea aje kuwa wife wako halafu akawa na majibu kama hayo. inaonyesha hana busara. lakini kama ulikuwa unataka kula tuu na hauna malengo yeyote ya maisha ya baadae na yeye basi hilo jibu lina kufaa.
Mapenzi kweli kizungumkuti,yanayonikuta yanautesa sana moyo wangu.
KUna msichana ambaye ninampenda sana toka siku nyingi na yeye aanalijua hilo,ila kila nikimueleza juu ya hisia zangu uu yake yeye huishia kusema NAKUPENDA ILA HATUWEZI KUWA PAMOJA KWAKUWA HAUNA KAZI,HUNA PESA.
Hiki kitu kinaniumiza sana kwani kukosa kwangu kazi na kukosa pesa kunanifanya nimkose mtu ninayempenda kwa dhati,pia najiuliza hivi siku hizi ndio mapenzi hayawezakani tena mtu aspokuwa na pesa/kazi?ndugu mwana-jamvi,fikiria kama wewe ndio ungekuwa umepata na situation kama hii inayonikumba mimi ungefanyaje?(kumbuka hii ni very true story)
Pole mwaya!
Msamehe ni mfumo tu wa maisha angekubali angekupa kizunguzungu ungeweza kufanya hata ambacho hujawahi kufanya ili umfurahishe yeye!
Kakunyima kunde kakupunguzia mashuzi usihuzunike! Nambie ungefanyaje angekwambia anataka kodi ya nyumba, kwenda saloon mala Luku imeisha!
kwanini pesa ipewe kipaumbele katika mapenzi na si upendo wa kweli kutoka moyoni?[/QUOTE
MTAKULA NINI HATA KAMA MNAPENDANA TOKA MOYONI?HILA HUYU WAKO LUGHA ALIYO HITUMIA SIDHANI KAMA ANA KUPENDA.