Nimekataa kumpongeza Mrisho Gambo

Achaneni na Juliana,huyo hawezi kujenga hoja. Anaandikiwa ndipo anaipost huku jukwaani. Sijawahi kumsikia hata akitoa hoja bungeni.

Huku anaandikiwa kisha kuanzisha uzi wake wa ajabu ajabu.

Anatumia kifaa gani kuandika
 
Nyani haoni kundule.. Anasahau mkia wake ni mrefu kuliko
 
Wewe mwanamke ccm ina wenyewe ,jishebedue tu

Hebu jasiri wewe toka hadharani mwambie Magufuli maandamano ni jambo la kikatiba na anavunja katiba kukataza
 
Kwa sifa hizo ni dhahiri sasa kuwa tatizo la UFISADI NA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA Chuo cha Ufundi Arusha litapata suluhisho.

Kelele zilipigwa sana Chuo cha Uhasibu Arusha, hatua zikachukuliwa Mkuu wa Chuo Prof. Monyo akaondolewa. Kelele za aina hiyohiyo zikapigwa sana Chuo cha Nelson Mandela Arusha, Mkuu wa Chuo Prof. Mwamila akaamua kujiuzulu. Kelele za aina hiyohiyo zimepigwa na zinaendelea kupigwa sana Chuo cha Ufundi Arusha, ili hatua kama zilizochukuliwa katika vyuo nilivyovitaja ziweze kuchukuliwa.

Chuo cha Ufundi Arusha kinakabiliwa na Ufisadi na Matumizi mabaya ya ofisi unaoelezewa kuwa zaidi sana ikilinganishwa na uliolalamikiwa katika vyuo nilivyovitaja. Lakini waliofanya ufisadi Chuo cha Ufundi Arusha bado wako ofisini wakiendelea na ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka kama kawaida yao walivyozoea. Wakubwa wa chuo hiki hawana hofu wala hawajali kama hali ya kiuongozi wa Nchi imeshabadilika na Ufisadi unapigwa vita kila mahali. Ni wakati sasa wa kila anayechukia ufisadi kumsaidia Mh. Raisi Magufuli kuondokana na janga hili.

Pengine Mteule Gambo atalisikia na kuchukua hatua zinazostahili
 
Wanatufanya watanzania wajinga!
 
Left overs za Chadema zinatapatapa sana, kumbe UVCCM ndiyo kazi yenu kuzalisha products kama za kina Sixtus Mapunda and the likes...
 
Siyo kweli kabisa kuwa laki tatu na nusu ni ufisadi. Mbona wao wanalipwa mamilioni mbali na posho nyingine! Hiyo siasa haiwafikishi popote.! Arusha ni ya CHADEMA hata mfanyeje!
 
Nimetamani kulia. Ubarikiwe Juliana na Idumu Ccm na Uvccm iliyo safi.
 
In the honor of dictatorship! bootlickers enjoy the left overs of their masters at the amidst of severe hunger and famine!!
Eti mtu humjui utawezaje kummwagia sifa usiyemjua!!
Harafu Juliana ni Mbungef shida yako nini??
Hujui shida zote na matatizo yote yameletwa na hao MaCCM??
Mhs Rais anajaribu kufukia na kupotezea ushahidi na kulinda wahusika.
Lakini watu si wajinga wanazo kumbukumbu!!
Hivyo Gambo hawezi kufanya kinyume na Boss wake!!
 
Na cha ajabu vijana hao hao wanaosifiwa kulelewa vizuri ndo waliouza Mali za chama kule iringa teh teh teh! Chama hiki hakiishi mikosi
 
Hakika,umenena kweli.CCM bado itaedelea kutoa viongozi mbalimbali wa nchi hii kwa karne nyingi zijazo...na hata kwa upande wa upinzani wataendelea kupata wagpmbea wa nafasi mbalimbali kuanzia mashinani hadi uraisi kutoka CCM...hili halina ubishi.
Wa kudadavua nakushauri ukadadavuzi kabisa ile katiba ili ikibidi tusipoteze pesa kwenye Demokrasia isiyotija wala kuheshimiwa
 
mbona hujaelezea alivyo mtusi yule mwanamke kule korogwe! njaa mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…