Nimekata tamaa na hii hali niliyonayo, uume hausimami

Yah Hali ndo ilikuwa hivyo ila kwa miezi minne niliaacha kabisa punyeto na kuanza kujitibu mwenyewe uume ulianza kuwa imara niliposema nijaribu uume ulisimama ila nilipotaka kuingiza kwa kuvaa kondomu nilishndwa kabisa
Sasa mkuu swali langu ni kwamba. Uliwezaje kuwa unapiga punyeto wakati mashine haisimami??

Au kwenye punyeto mashine iko flesh lakini papuchi mambo ndo yanachange??
 
Sasa wazee wafursa wamesha fika nakutegeneza mazingira ya kupata wateja wapya
 
Ushawahi piga lakn mkuu

Mpaka amekujibu manaaka amewahi kama nilivyowahi mimi kwa zaidi ya miaka6..napiga punyeto na papuchi nakula..
Uume umekua imara sana naangaliaga porn nashangaa kuona mtu umeme umesimama ila umelegea mwanaume anaupindisha pindisha wakati mimi ikisimama imesimama dede kweli kweli..
Tena usiombe isimame mbele ya kanisa...

Wewe nyeto ulikua unapigaje ?unatumia nini
 
Sasa wazee wafursa wamesha fika nakutegeneza mazingira ya kupata wateja wapya
Hii account ina miaka zaidi ya 7 humu jf na sijawahi kukutana na mtu yeyote ya ana kwa ana au kutoa usaidizi wa jambo lolote zaidi ya ushauri tuu,hata kumuelekeza mtu kwamba nenda kwa mtu flan sijawah na wote waliowah kuomba niwaelekeze sehem sijawah kuwapa mwongozo wowote,
Ushirikina upo na nimeuona kwa miaka mingi sana maana Shughuli nilizofanya ujanani zilikunatisha na visa vingi ambavyo vili nilazim kuwajua waganga,nishafanya biashara Congo,Hapa ndani nimekaa mikoa zaidi ya 12,nishakuwa mwindaji haramu, nishakaa migodini kama nyoka nk,nimekutana na mengi aisee
.
.
.
.
Wasiwasi ni akili so kwa kias flan upo sahihi kupata wasiwasi na mimi kwa maana tupo katika ulimwengu wa survival of the fittest,ulimwengu ambao matatizo ya watu ni fursa kwa wengine ila sio wote
 


Mkuu pole sana...

Kuna hizi mbegu zaitwa chia seed (sijajua spelling zake vizuri), husaidia saana,kilo nazani huuzwa kati yash 19,000/= hadi 25,000/= husaidia saana,enyewe waweza kua waweka kidogo kwenye chai au ata maji ya kunywa

Hubalance hormones,pia ata kwa wale ambao hutoa mbegu,kama anacheua vile...itakusaidia kwa tatizo lako pia (trust me)

Pia,Jaribu na juice ya tende

UANDAAJI
1. Chemsha maziwa freshhadi yachemke kama vile wanywa chai

2.Yaache yapoe

3.Andaa tende,kwa kuondoa mbegu

4.weka kwenye maziwa yaliopoa

5.Weka kwenye blenda,kwaajili ya. kusaga

6.Baada ya kusaga weka kwenye bakuli,then chuja...waweza tumia kitambaa au chujio

6.apo tayari...(waweza tunza kwenye friji,au ukanywewa ikamalizika)

*usafi ni wa muhimu (pia nimeandika haraka haraka,but kwa inshu ya makadilio au uwiano wa mchanganyo waweza angalia mwenyewe

NB,Mazoezi ni muhimu,pia punguza matumizi ya vileo au sigara kama watumia ,na pia kama wajichua acha kabisaa,na jaribu kuepuka kupatamsongo wa mawazo,pia usipaniki au kupania shughuli enyewe
 


Iwe funzo kwenu mnaopenda punyeto. Itakuchukua muda kurudi kwenye reli usitarajie matokeo ya haraka.

Badilisha mfumo wa maisha na uache ujinga wa punyeto mara moja.
 
Iwe funzo kwenu mnaopenda punyeto. Itakuchukua muda kurudi kwenye reli usitarajie matokeo ya haraka.

Badilisha mfumo wa maisha na uache ujinga wa punyeto mara moja.
Nyeto inaimarisha mfumo wew..
 
Sikia Mkuu,wengi wanazunguuka tu ukweli ni kuwa unatatizo la kupungukiwa nguvu za kiume.cha kwanza angalia kama kitu kinasimama na kwa hili miki nashauri kitu ambcho wengi wanaweza kupinga lakin ni njia haraka na ya kwanza kujua upoje,nacho ni jaribu 'Viagra'.kama vidonge hivi vitashindwa kukufanya udise tena basi we tatizo lako ni kubwa,lakin kama utasimamisha bas tatizo lako litakuwa ni dogo na la mda mfupi.
Hiz dawa huwa wanatumia wazee ambao nguvu za kiume zimewaishia kabisa.
Hakikisha tu sio fake.
 
Asante mkuu kwa ushaur
 
Inaweza tumia Muda gani? Kwa matarajio kwa kuwa nimepiga kwa miaka nane had sasa Tangu niache nina miezi minne
Iwe funzo kwenu mnaopenda punyeto. Itakuchukua muda kurudi kwenye reli usitarajie matokeo ya haraka.

Badilisha mfumo wa maisha na uache ujinga wa punyeto mara moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…