Nimekata tamaa na hii hali niliyonayo, uume hausimami

We ndo umeota suluhu..tuambie nahuyo therapist anaitwa Nani wa aga Khan napia gharama ulizotumia kiasi gani
Anaitwa dr akbar, ni miaka imepita am not sure kama yupo. Ila nilifika aghakan nikawaambia nahitaji kukutana na mtaalam wa masuala ya uzazi kwa mwanaume ndio wakanipa huyo dr. Approximately ilinitoka 1.4m for medication and therapy
 
mkuu ninlmePM cheki inbox
 
Back
Top Bottom