Pumzika kwa amani kamanda na pole kwa kuchagua chama kilichoasisiwa kwa maslahi ya mtu (kundi) binafsi.Ninachokuhakikishia ni kuwa Chadema haitobadilika milele bora urejee katika chama kinachoamini katika umoja na maendeleo na kuthamini utu wa kila mtanzania CCM.
MarireHeshima kwenu wakuu.
kwa nitakaowaudhi waniwie radhi.
_Mimi ni mwanachama wa chadema na nina kadi hai kabisa ninafurahiswa na viongozi wa chadema wakiwemo wabunge na madiwani majukwaani tu na si kwenye maendeleo...
kwa muktadha huo hata hili jukwaa la siasa nilikuwa mchagiaji mzuri sana kwa kuitetea chadema ndio sasa nikaamua leo niwaage rasimi hapa kwa kuwa ccm siwapendi na chadema siipendi ila nitabaki na kadi yangu hadi hapo watakapokuja viongozi watakaoleta maendeleo.
kama alivyokwishatuahidi. Dr.W.Slaa wakati anamnadi diwani wa kirumba Danny kaungu kuwa atahakikisha kata na majimbo yanayoongozwa na chadema yatakuwa mfano wa kuigwa kauli nayoifananisha na ya maisha bora.
_leo nawaaga rasim wakuu wa jukwaa hili la siasa !
__NB jimbo la Nassari na Mnyika tu ndio walau utasema kuna uongozi wa mbunge!
DALLAI LAMA wale vijana kutoka Arusha waliolawitiwa huko Kalenga wanaendeleaje?Nenda fuata wasaliti wenzako.
Nenda fuata wasaliti wenzako.
Pumzika kwa amani kamanda na pole kwa kuchagua chama kilichoasisiwa kwa maslahi ya mtu (kundi) binafsi.Ninachokuhakikishia ni kuwa Chadema haitobadilika milele bora urejee katika chama kinachoamini katika umoja na maendeleo na kuthamini utu wa kila mtanzania CCM.
Heshima kwenu wakuu.
kwa nitakaowaudhi waniwie radhi.
_Mimi ni mwanachama wa chadema na nina kadi hai kabisa ninafurahiswa na viongozi wa chadema wakiwemo wabunge na madiwani majukwaani tu na si kwenye maendeleo...
kwa muktadha huo hata hili jukwaa la siasa nilikuwa mchagiaji mzuri sana kwa kuitetea chadema ndio sasa nikaamua leo niwaage rasimi hapa kwa kuwa ccm siwapendi na chadema siipendi ila nitabaki na kadi yangu hadi hapo watakapokuja viongozi watakaoleta maendeleo.
kama alivyokwishatuahidi. Dr.W.Slaa wakati anamnadi diwani wa kirumba Danny kaungu kuwa atahakikisha kata na majimbo yanayoongozwa na chadema yatakuwa mfano wa kuigwa kauli nayoifananisha na ya maisha bora.
_leo nawaaga rasim wakuu wa jukwaa hili la siasa !
__NB jimbo la Nassari na Mnyika tu ndio walau utasema kuna uongozi wa mbunge!
Heshima kwenu wakuu.
kwa nitakaowaudhi waniwie radhi.
_Mimi ni mwanachama wa chadema na nina kadi hai kabisa ninafurahiswa na viongozi wa chadema wakiwemo wabunge na madiwani majukwaani tu na si kwenye maendeleo...
kwa muktadha huo hata hili jukwaa la siasa nilikuwa mchagiaji mzuri sana kwa kuitetea chadema ndio sasa nikaamua leo niwaage rasimi hapa kwa kuwa ccm siwapendi na chadema siipendi ila nitabaki na kadi yangu hadi hapo watakapokuja viongozi watakaoleta maendeleo.
kama alivyokwishatuahidi. Dr.W.Slaa wakati anamnadi diwani wa kirumba Danny kaungu kuwa atahakikisha kata na majimbo yanayoongozwa na chadema yatakuwa mfano wa kuigwa kauli nayoifananisha na ya maisha bora.
_leo nawaaga rasim wakuu wa jukwaa hili la siasa !
__NB jimbo la Nassari na Mnyika tu ndio walau utasema kuna uongozi wa mbunge!
DALLAI LAMA wale vijana kutoka Arusha waliolawitiwa huko Kalenga wanaendeleaje?