ommysoftnet
Senior Member
- Feb 7, 2014
- 154
- 32
Jamani mimi nauliza tu, hivi zile ahadi za mheshimiwa 'ametelekeza' na 'ametekeleza' ngapi???Zile alizojinadi nazo mwaka 2010??
Kweli CDM ni kiboko..hamuwezi lala bila yenyewe..hapa tuu chama tawala hakilali, mkiwa wpainzani itakuweje?
Mbinu pekee tuliyobaki nayo sasa hivi ni kurusha Chopa na kusingizia daftari la wapiga kura.Hatuna mbinu mpya! Imefika mahala sioni jipya mbele yangu,mimi na wanangu sasa tumepoteza matumaini juu ya Chama chetu.Ushindi sasa kwetu mwiko!
Inakera sana!
umechelewa sana. ulitakiwa uwe umekata tamaa tangu 2010. pole. chezea saccos tokea tengeru wewe.Mbinu pekee tuliyobaki nayo sasa hivi ni kurusha Chopa na kusingizia daftari la wapiga kura.Hatuna mbinu mpya! Imefika mahala sioni jipya mbele yangu,mimi na wanangu sasa tumepoteza matumaini juu ya Chama chetu.Ushindi sasa kwetu mwiko!
Inakera sana!
Mbinu pekee tuliyobaki nayo sasa hivi ni kurusha Chopa na kusingizia daftari la wapiga kura.Hatuna mbinu mpya! Imefika mahala sioni jipya mbele yangu,mimi na wanangu sasa tumepoteza matumaini juu ya Chama chetu.Ushindi sasa kwetu mwiko!
Inakera sana!
Mbona mpole sana bado unakomaa na babu. Hausomi alama za nyakati? Nipe ripoti ya kalenga kwann ulitimua mbio baada ya kuangukia pua?Watu wa CCM mnakaa hapo Lumumba na kujifanya wana-CHADEMA.Mbinu hii ilishapitwa na wakati
Vijana wengi wa kitanzania walio ahidiwa ahadi kemu kemu na chama cha kiraghai cha upinzani (CDM) Wamekata tamaa.
Hii ni baada ya vichapo mfurulizo kukiandama chama hicho. Na chama hicho kutumia gharama kubwa za uchaguzi huku wapiga kura wakila ugali na kachumbali.
Vilevile imeelezwa na vijana wa kuaminika kutoka chama hicho kuwa waliahidiwa madonge manono kiasi cha vijana hao kutumia nguvu nyingi ikiwamo kuhatarisha maisha yao na watu wemgine.
vijana hao wamekuwa kama wamenyeshewa mvua ya mawe kiasi cha kupotea kwenye mitandao ya kijamii hususani JF. Machachari yao na tambo zao zote kuishia kwenye keyboard za kopyuta huku masanduku ya kura yakitoa somo.
Ombi langu kwa vijana hao warudi kundini (CCM) kusema kweli hatuta watupa.
KARIBUNI SANA CCM TUJENGE NCHI ACHANANENI NA SIASA ZA KIRAGHAI.
Mbinu pekee tuliyobaki nayo sasa hivi ni kurusha Chopa na kusingizia daftari la wapiga kura.Hatuna mbinu mpya! Imefika mahala sioni jipya mbele yangu,mimi na wanangu sasa tumepoteza matumaini juu ya Chama chetu.Ushindi sasa kwetu mwiko!
Inakera sana!
Unatakiwa kufanya uchambuzi yakinifu. Kunapotokea chaguzi za marudio uanpaswa kuangalia vitu vingi hata kama chama hakijashinda. Mfano unaangalia kura kilizopata chama katika uchaguzi wa kwanza na wa marudio au idadi ya viti mfano vya udiwani kilivyokuwa navyo chama kabla ya uchaguzi wa marudio. Mfano wa Kalenga katika uchaguzi wa kwanza chama kilipata kura zisizozidi 1000 na katika uchaguzi wa marudio kinapata zaidi ya 5000 hapo ni kuwa chama kina kua. Ukifanya uchambuzi wa kiNape ndio utaishia na conclusion kama zakoMbinu pekee tuliyobaki nayo sasa hivi ni kurusha Chopa na kusingizia daftari la wapiga kura.Hatuna mbinu mpya! Imefika mahala sioni jipya mbele yangu,mimi na wanangu sasa tumepoteza matumaini juu ya Chama chetu.Ushindi sasa kwetu mwiko!
Inakera sana!
Usikurupuke kama hauna matukio yaliyotokea Upande wa CCM. Katika uchaguzi mdogo wa ubunge Igunga kule Igoweko kuna kituo CCM ilipata kura 1 na kingine 0 mbona haukushangaa huku CCM ikiwa na umri wa miaka 50Chadema kina miaka 22 sasa toka kianzishwe ni aibu kupata kura 2 kwenye kituo, hawa vijana wa Chadema ndio watakaoiuwa Chadema.
Mbinu pekee tuliyobaki nayo sasa hivi ni kurusha Chopa na kusingizia daftari la wapiga kura.Hatuna mbinu mpya! Imefika mahala sioni jipya mbele yangu,mimi na wanangu sasa tumepoteza matumaini juu ya Chama chetu.Ushindi sasa kwetu mwiko!
Inakera sana!Haikeri Sana ILA inauma Sana!
Vijana wengi wa kitanzania walio ahidiwa ahadi kemu kemu na chama cha kiraghai cha upinzani (CDM) Wamekata tamaa.
Hii ni baada ya vichapo mfurulizo kukiandama chama hicho. Na chama hicho kutumia gharama kubwa za uchaguzi huku wapiga kura wakila ugali na kachumbali.
Vilevile imeelezwa na vijana wa kuaminika kutoka chama hicho kuwa waliahidiwa madonge manono kiasi cha vijana hao kutumia nguvu nyingi ikiwamo kuhatarisha maisha yao na watu wemgine.
vijana hao wamekuwa kama wamenyeshewa mvua ya mawe kiasi cha kupotea kwenye mitandao ya kijamii hususani JF. Machachari yao na tambo zao zote kuishia kwenye keyboard za kopyuta huku masanduku ya kura yakitoa somo.
Ombi langu kwa vijana hao warudi kundini (CCM) kusema kweli hatuta watupa.
KARIBUNI SANA CCM TUJENGE NCHI ACHANANENI NA SIASA ZA KIRAGHAI.
Mimi nauliza yule aliyesema Kigoma itakuwa DubaiCampaign Manager Godbless Lema ametekeleza mangapia hapa Arusha katika yale aliyoahidi......
Kiraghai,,,ndo nini