Nimekata shauri, naandika wosia

Kwa hiyo mkuu unataka tufanyeje badala yake? Baba mdogo arithishwe? Ili apate moyo wa kulea watoto?
Bila shaka wewe utakuwa baba mdogo iliyepata mgao au unayefaiti kupata mgao au unayetegemea siku nduguyo akinyooka! Maana yake unataka ulipwe kulea watoto wa nduguzo.

Halafu unasema mke yeye ataolewa tena na kuendekea kula raha. Sasa unataka afanyeje na wewe umeshakufa?Acha wivu. Na mkeo kupata sio ridhaa ni lazima. Kwani hizo mali umetafuta peke yako,ulimuweka nani kukulelea hao watoto na kukufanya mke? Kama mgao wake atahonga ni juu yake,kikubwa ni kuacha mazingira mazuri ya yeye kutotumia vibaya migao ya wengine kama alivyoshauri t blj Suala la yeye kupata halina mjadala kwa sisi wakristu na serikalini.

Kwani tatizo ni umiliki au usimamizi wa mali,coz kama mali zitamilikishwa watoto na wewe ukawa msimamizi kuhakikisha hazipotei,kuna tatizo? Coz navojua mimi ni lazima ndugu mmoja wa damu ataachiwa usimamizi wa familia ya marehemu. Shida yako nini
 
wosia ni kitu muhimu sana,hii itaepusha migogoro isiyo ya lazima pindi haupo duniani
 
wosia ni kitu muhimu sana,hii itaepusha migogoro isiyo ya lazima pindi haupo duniani
 
Unachanganya mambo, sana sijui kwa nini, Swala la watoto mitaan ni wengi Kutokana na kuwa wanaume ni wachache na wanazidi kupotea,

Wosia kama hujui ni katika kuonesha tu jitihada za kuwa uliwathamini na kuwapenda uliowaacha wakikutegemea, mirathi haijawai kuwa stepping stone katika maendeleo ya watoto labda huko uhindini,
Vijimali nilivyotafuta kweli haviwezi wasaidia wanangu, ila pia sitaki viwasabashie usumbufu na kuwapotezea muda wao kwa makesi ya hapa na pale,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…