Mjane unamsaidia vipi wakati capital yake (mbunye)unamuacha nayo?
Sisi tunaoamini katika uzima wa milele hatutishwi tishwi na mauti maana tujapokufa tutaishi na kama hivyo vijimali si kitu, hakika twauendea mji ambao mali zake haziliwi na kutu wa nondo TAMANI FAMILIA YAKO WAWE SEHEMU YA MALI HIZO.
OK unaweza kuwa na template ya wosia from Rita?Hapana si lazima ila kesi nyingi za mirathi huwa zinaenda Kule, nikaona ni bora nideal nao maana Wana huduma hiyo pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana we mbinafsi Sana, halafu katika katika vitu vinakuumiza kichwa ni Hilo la mke kubaki anatanuaMjane unamsaidia vipi wakati capital yake (mbunye)unamuacha nayo?
Sisi tunaoamini katika uzima wa milele hatutishwi tishwi na mauti maana tujapokufa tutaishi na kama hivyo vijimali si kitu, hakika twauendea mji ambao mali zake haziliwi na kutu wa nondo TAMANI FAMILIA YAKO WAWE SEHEMU YA MALI HIZO.
Haha template Sina ila ni maneno Machache Sana wala usicomplicate,
Jamaa una wivu mpaka Akhera!?, Swali: wengi humu naamini mnaabudu ktk Dini, kwani hamna muongozo wa kidini mali igawanywe vipi baada ya Mungu kumpenda zaidi?Haha template Sina ila ni maneno Machache Sana wala usicomplicate,
MI kwa mfano ni mjasiliamali mambo ya kusema nyumba hii a sijui achukue Nani hiki achukue Nani niliona itakuwa ngumu , sababu ni naweza amua kuuza baadhi ya asset katika Kuongeza mtaji wangu nikiwa bado hai
So ilikuwa kama hivi " chochote kitakacho kuwa Mali yangu, ikiwemo akaunti za benki na fedha taslim, ikithibitishwa nimefariki , apewe mke wangu na watoto wake"
Halafu ni kaweka phrases kadhaa za kupiga lock kwa viben ten and the likes kujimilikisha nilichotafuta, "Mke ataruhusiwa kuwa na mahusiano mapya baada ya kifo changu, ila kwa mashati kuwa asizae na wala kuleta mume Mpya katika maeneo wanayoishi, ikithibitika kuwa amekiuka hayo usimamizi wake utakoma mara Moja na badala yake upekelekwe kwa watoto wenyewe "
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazazi vipi mkuu,hukuwaweka?si nasikia nao wanakuwa na fungu lao?Haha template Sina ila ni maneno Machache Sana wala usicomplicate,
MI kwa mfano ni mjasiliamali mambo ya kusema nyumba hii a sijui achukue Nani hiki achukue Nani niliona itakuwa ngumu , sababu ni naweza amua kuuza baadhi ya asset katika Kuongeza mtaji wangu nikiwa bado hai
So ilikuwa kama hivi " chochote kitakacho kuwa Mali yangu, ikiwemo akaunti za benki na fedha taslim, ikithibitishwa nimefariki , apewe mke wangu na watoto wake"
Halafu ni kaweka phrases kadhaa za kupiga lock kwa viben ten and the likes kujimilikisha nilichotafuta, "Mke ataruhusiwa kuwa na mahusiano mapya baada ya kifo changu, ila kwa mashati kuwa asizae na wala kuleta mume Mpya katika maeneo wanayoishi, ikithibitika kuwa amekiuka hayo usimamizi wake utakoma mara Moja na badala yake upekelekwe kwa watoto wenyewe "
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakili msomi Petro E. Mselewa na Ka-Shivji Kadogo Pascal Mayalla kujeni hukuNi wazo zuri ila kwa wenye upeo wa uandishi wa wosia basi tusaidiane
Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati mbaya nilipoteza wazazi, na hata kama wangekuwa hai pengine nisingewapa kipaumbele SanaWazazi vipi mkuu,hukuwaweka?si nasikia nao wanakuwa na fungu lao?
Ili uonekane angalau reasoning yako ina mantiki jaribu kutanua wigo wa majukumu i.e aliyekuleta wewe duniani hajui majukumu aliyokupa ya kulea wana wa viuno vyako?Inaonekana we mbinafsi Sana, halafu katika katika vitu vinakuumiza kichwa ni Hilo la mke kubaki anatanua
Hapo unazungumzia mke tu, ambaye OK yeye atategemea mbunye kama unavo Sema , vipi kuhusu watoto uluowatengeneza?, ambao kimantiki ni jukumu lako kuwapa security na Amani kama una nafasi hiyo, mana wamekuja hapa Duniani kwa hisani yako!
Mimi ninayo fahamu ni kuwa ukizaliwa mwanaume unapata mengi mazuri na upendeleo mwingi wa kidunia. ila nimeprove bila wasi wasi kuwa hatudumu kimaisha, yaan tunakufa mapema Sana
Kwa hiyo mkuu wakati unasherekea uanaume wako fahamu pia wenzetu wamepewa maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna binti ndugu yangu nimetoka kumfaitia mirathi juzi kati. Ni mambo ya kusikitisha kabisa, watu mpaka wamerogana kwa ajili ya ugomvi wa usimamizi tu wa mirathi. Eti mpaka wajomba wa marehemu wanataka mgawo. Tulipofanikiwa kuwapangua,tukakuta hakimu alishaahidiwa 3m na baba mzazi akisimama upande wake.Bahati mbaya nilipoteza wazazi, na hata kama wangekuwa hai pengine nisingewapa kipaumbele Sana
Kimsingi tunawajibika Sana kwenye hizi Familia tulizoanzisha yaan mke na watoto,
Dhana nzima ya wosia Ina apply Sana katika familia zetu hizi zilizofunikwa na umasikini, Niwshuhudia sehemu pikipiki tu ya marehemu ilisababisha Wanafamilia kukatana mapanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Haa mkuu Sina wivu, ila mjini kuna masomo mengi Sana,Jamaa una wivu mpaka Akhera!?, Swali: wengi humu naamini mnaabudu ktk Dini, kwani hamna muongozo wa kidini mali igawanywe vipi baada ya Mungu kumpenda zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap! ndo maana halisi ya wosiaKuna binti ndugu yangu nimetoka kumfaitia mirathi juzi kati. Ni mambo ya kusikitisha kabisa, watu mpaka wamerogana kwa ajili ya ugomvi wa usimamizi tu wa mirathi. Eti mpaka wajomba wa marehemu wanataka mgawo. Tulipofanikiwa kuwapangua,tukakuta hakimu alishaahidiwa 3m na baba mzazi akisimama upande wake.
Nilishangazwa sana
Atapata hizo ulizom fight-ia zikiisha uendelee kumsuport (kutoka kwenye fungu la wanao)Kuna binti ndugu yangu nimetoka kumfaitia mirathi juzi kati. Ni mambo ya kusikitisha kabisa, watu mpaka wamerogana kwa ajili ya ugomvi wa usimamizi tu wa mirathi. Eti mpaka wajomba wa marehemu wanataka mgawo. Tulipofanikiwa kuwapangua,tukakuta hakimu alishaahidiwa 3m na baba mzazi akisimama upande wake.
Nilishangazwa sana
Mkuu kuna jambo unakwepa kuliweka wazi.Ili uonekane angalau reasoning yako ina mantiki jaribu kutanua wigo wa majukumu i.e aliyekuleta wewe duniani hajui majukumu aliyokupa ya kulea wana wa viuno vyako?
Sipendi kuona bin adamu akifikiri chini ya kiwango tena hadharani.
Miaka dahari iliyopita hakukuwa na watoto wa mitaani mpaka pale mlipoanza kuwatenga watoto na jamii yao mizoga nyie (mmedhamiria kufa) mkidhani mnawasaidia saaana wanenu.
Wanangu wanajua kuwa kuishi kwao kunategemea uhai na mazingira yao kwa maana watakula ili waishi.
Kuhusu watoto tambua kuwa :-
MLANGO MMOJA UKIFUNGWA, MINGINE MINGI YAFUNGULIWA KWAO.
Wewe unataka nani sasa apate?Atapata hizo ulizom fight-ia zikiisha uendelee kumsuport (kutoka kwenye fungu la wanao)
Mkuu mimi nimekupata vizuri sana,na umeniongezea kitu.Haa mkuu Sina wivu, ila mjini kuna masomo mengi Sana,
katika watu wanaharibu mchakato mzima wa mirathi ni mwanaume anayekujua kuishi na mkeo baada ya ww kufariki, anaweza akamzalisha mkeo na akatake advantage ya wosia wako kwamba Mali ni za mke na watoto, nahatimaye wanao wakataabika, ndo maana ya kuweka Ile pini
Dini Ina bandwidth kwenye hili la mirathi, ili lifanikiwe swala hili, inabidi wote muwe mmeishika na kunielewa hiyo Dini la sivyo atatokea mtu hana mpango na kanisa wala msikiti na atasumbua tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilishauriwa kitambo ila mpaka muda huu nambwela mbwela tu. Yaani siamini kama ipo siku nitaondoka hapa duniani na kuwaacha wapendwa wangu. Ni wazo zuri hivyo tutaandika tu. Hakuna namna.
Yesu kristo hakueleweka na wengi kwa kuwa hakuyatamka wayatarajiayo.Duu hata nimeshindwa kuelewa kwamba kuna mtu atakuja kuwakomoa wanangu kwa kuwa nilikuwa na nyodo au ukwasi?
Unaishi maisha gani mkuu. Ya chuki, vinyongo au visasi? maana point unazotoa sio relevant kabisa kwa matukio ya Dunia ya Leo.
Tambua kuwa' vijimali' unavosemea ni kwa vile wewe una ukwasi, lkn kuna mtu atakuwa yupo tayari kufanya unyama kwa vitu vya Thamani ndogo sana
Sent using Jamii Forums mobile app