Nimekasirika kuitwa malaya

Nimeliona hilo nikaishia kushangaa tu na kushindwa kumuweka kwenye kundi lipi?
Huyu binti/dada Unique Flower anasumbuliwa na upweke,halafu inaonekana hata maisha ya huko mtaani wanaume wanamkwepa,so anastress za kufa mtu,imagine alishaletaga uzi hapa wa kulalamika kuwa kila mwanaume anaedate nae anataka Unique Flower ndio amgaramikie[emoji2]
 
Daa maskini
Ngoja nikija nimtafute kama ni ke maana anachanganya mafaili kila uzi

Waliopo karibu hebu msaidieni basi
 
L
Iipia Tangazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…