Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,035
mpwaaz huyo ni ANNA,baamedi wa chawote!STUKAHahaha! Anna! Nalipenda sana jina hilo! Thijui kwanini?
mpwaaz huyo ni ANNA,baamedi wa chawote!STUKAHahaha! Anna! Nalipenda sana jina hilo! Thijui kwanini?
Fidel
Kwa style hii ile likizo uliyosema inaendeka kweli? maana naona na wewe umetekwa kweli siyo kukamatika tu!..
happy new 2010 na huyo binti wa kigogo!
Duh!
.....Kama kawa tupo pamoja na wapwazi.
Tatizo lako wewe unadharau sana sijui kwa nn au wa geti kali?
Yawezekana, ngoja Fidel80 apite pite anaweza kumuona.Sister angalia nawe isije kuwa jamaa naye kakamatika uswazi ndo maana amekuwa not reachable!!!!! lol
Msimamo mpwa as from today am a single lady, nimempiga kibuti jana after the ushauriz, thanks to you all, kazana tu huko uswazi.
Mkuu, anakaa maeneo gani huku Kigogo? Mimi nakaa huku... si vibaya ukini-introduzi ili pale anapopata dharura ndogondogo za vijisenti wakati wewe uko mbali kidogo niwe namhudumia shemeji yangu kipenzi!
...:d:d:dhahahaha dah mzee utanipindua hata wapwazi wenyewe siwatambulishi maana wanaweza kunipindua
Yawezekana, ngoja Fidel80 apite pite anaweza kumuona.
mpwaaz huyo ni ANNA,baamedi wa chawote!STUKA
Naona kibatani cha PM sikioni bahati mbaya.Ish!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mi najua kuwa umeshaniPM ili nikupe maneno ya faraja ambayo naogopa kuyaweka jamvini washkaji wasije wakayadaka na kuyatumia. Tafadhaaaaaaaaali NPM nisuuuze kinywa changu nawe upate faraja katika kipindi hiki cha mpito. Mi sio mdumisha mila kwa saaana na kihivyo.
........nafikiri ndiyo ishu kubwa hapa........Nikutake radhi kwa kutotiwa nyuma ya stauti ya kaka! U cant be serious!
Naona kibatani cha PM sikioni bahati mbaya.
acha woga kijana!...........umepina naye???? La kama sivyo take care. Sukari imeingia sumu
Hiyo baibo lazima itakuwa na walakini!Hehehe vp kuna dili sehemu nn? Nakuzawadia Biblia Takatifu kwa kunipa dili.
BAIBO ALIPEWA NA YULE MCHUNGA JI WA JUZI!Hiyo baibo lazima itakuwa na walakini!
Mpwaaaz Unakumbukumbu ya ajabu!BAIBO ALIPEWA NA YULE MCHUNGA JI WA JUZI!
naomba nimnukuu:WE JIGONGEE TUUUU!...HAINA SHIDAAA!we jigongee kavu tuuu!dawa ipoooooooo!pombe ni dawa ya ukimwi!,,
MWISHO WA KUNUKUU