Nimekamatika uswazi

Fidel

Kwa style hii ile likizo uliyosema inaendeka kweli? maana naona na wewe umetekwa kweli siyo kukamatika tu!..
happy new 2010 na huyo binti wa kigogo!
 
Fidel

Kwa style hii ile likizo uliyosema inaendeka kweli? maana naona na wewe umetekwa kweli siyo kukamatika tu!..
happy new 2010 na huyo binti wa kigogo!

Kama kawa tupo pamoja na wapwazi.
Tatizo lako wewe unadharau sana sijui kwa nn au wa geti kali?
 
Mkuu, anakaa maeneo gani huku Kigogo? Mimi nakaa huku... si vibaya ukini-introduzi ili pale anapopata dharura ndogondogo za vijisenti wakati wewe uko mbali kidogo niwe namhudumia shemeji yangu kipenzi!

Hahahaha dah mzee utanipindua hata wapwazi wenyewe siwatambulishi maana wanaweza kunipindua
 
Yawezekana, ngoja Fidel80 apite pite anaweza kumuona.

Ish!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mi najua kuwa umeshaniPM ili nikupe maneno ya faraja ambayo naogopa kuyaweka jamvini washkaji wasije wakayadaka na kuyatumia. Tafadhaaaaaaaaali NPM nisuuuze kinywa changu nawe upate faraja katika kipindi hiki cha mpito. Mi sio mdumisha mila kwa saaana na kihivyo.
 
mpwaaz huyo ni ANNA,baamedi wa chawote!STUKA

Sistuki mpwaaz! Mi na watu wanaoitwa Anna sijui kwanini! Huwa tunapendana sana! Kama kuna mtu anaitwa Anna kwenye hili jamvi asisite kuniPM ili nidumishe naye mila! Hahaha!
 
Ish!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mi najua kuwa umeshaniPM ili nikupe maneno ya faraja ambayo naogopa kuyaweka jamvini washkaji wasije wakayadaka na kuyatumia. Tafadhaaaaaaaaali NPM nisuuuze kinywa changu nawe upate faraja katika kipindi hiki cha mpito. Mi sio mdumisha mila kwa saaana na kihivyo.
Naona kibatani cha PM sikioni bahati mbaya.
 
Hiyo baibo lazima itakuwa na walakini!
BAIBO ALIPEWA NA YULE MCHUNGA JI WA JUZI!
naomba nimnukuu:WE JIGONGEE TUUUU!...HAINA SHIDAAA!we jigongee kavu tuuu!dawa ipoooooooo!pombe ni dawa ya ukimwi!,,

MWISHO WA KUNUKUU
 
BAIBO ALIPEWA NA YULE MCHUNGA JI WA JUZI!
naomba nimnukuu:WE JIGONGEE TUUUU!...HAINA SHIDAAA!we jigongee kavu tuuu!dawa ipoooooooo!pombe ni dawa ya ukimwi!,,

MWISHO WA KUNUKUU
Mpwaaaz Unakumbukumbu ya ajabu!
Nikikumbuka na ile dots connected
Unakula SENKSI!
Kuna SMS ilipotea njia nikaunganisha dots nikagundua! Hatari yule mtu wetu!
Hahaha! acha nicheke tu! Hahahaha! Tena? Hehehehe!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom