Nimekamatika uswazi

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,445
Mambo ya uswazi wakuu asikwambia n'tu nimekamatika kwa kifaa kimoja cha uswazi kinaishi Kigogo, ananiona mm kama ndo Boss wake maana matatizo madogo madogo ninamtatulia, aliniambia kodi ya chumba kwa mwezi 12000/= mm nikalipa ya mwaka mzima 144,000/= si mnakumbuka yule wa kulitachi alikuwa ananikamua 70 kwa wiki sasa huyu ndo hivyo naona nimeona pa kupumnzika, nikienda anapo ishi mimi naonekana kama baba mwenye nyumba. Kikubwa mtoto ameumbika balaa, mtoto amewiva naogopa hata kuwaonyesha hata wapwazi wasije wakanizidi dau maana pale ndipo pumnziko langu jipyaa. Mkiona nasema nipo Kigogo wapwa msishangae nipo kwa mtoto wa uswazi. Asili yake nitawatajia baadae maana napata uhondo wa hali ya juu.
Watoto wa uswazi wanalipa sana ndilo pumnziko langu la milele.
 
hiyo room lazima ulimchukulia MANZESE-KWA MJAPANI!...safi sana mzee!watoto wa uswazi wanawakimbiza madem-wa-kishua
 
Akiendelea na tabia nzuri nazaaa nae mtoto kabisa

Vipi? Umetoka vekesheni kimyakimya breki ya kwanza kigogo siyo? Vipi ulijaribu kumdodosa kama ana mdogo wake wa kike? I mean Mambo ya Mila.
 
hiyo room lazima ulimchukulia MANZESE-KWA MJAPANI!...safi sana mzee!watoto wa uswazi wanawakimbiza madem-wa-kishua

Hahahaha huyu mtoto yupo Kigogo ndiko anako ishi nikiwa na apointment nae anakuja amenivalia Khanga huku nyuma anaacha watu wanajiuliza maswali mengi bila majibu yaani milindimo na matetemeko ya mwili.
 
Nakutakia mafanikio mema, kwa lugha rahisi ALL ZE BEST.

Shukrani na wewe yule jamaa ako ungempa acheke na nyavu saizi ungekuwa unazungumzia harusi na masendi ofu kabisa na wapwazi tungekuchangia tatizo lako mchoyo.
 
Shukrani na wewe yule jamaa ako ungempa acheke na nyavu saizi ungekuwa unazungumzia harusi na masendi ofu kabisa na wapwazi tungekuchangia tatizo lako mchoyo.

Tatizo dada yangu mwoga sana huyu!
 
Vipi? Umetoka vekesheni kimyakimya breki ya kwanza kigogo siyo? Vipi ulijaribu kumdodosa kama ana mdogo wake wa kike? I mean Mambo ya Mila.

Hahahaha mpwazi yaani break ya kwanza huko huko, nitaulizia kama ana dada ake au mdogo n'tu.
 
MZEE si ulikiona kitoto cha uswazi jana pale baa?........
kimekuja na ndala zake,akaaaaaaaaaaaaa!kile cha manzese-madizini!...

Alafu wewe! Dah! Jana mlinitendea uovu! Kinyume na haki za binadamu! btw Halima na Matron Fatuma ikawaje tena!
 
Alafu wewe! Dah! Jana mlinitendea uovu! Kinyume na haki za binadamu! btw Halima na Matron Fatuma ikawaje tena!
hii kesi ataijibu KAIZER!mimi unanionea bure mpwaaz!kaizer ana kesi ya kujibu.

hata hivyo kuna kifaa kinaitwa PRISCA...!kaizer atakupa movie nzima
 
Shukrani na wewe yule jamaa ako ungempa acheke na nyavu saizi ungekuwa unazungumzia harusi na masendi ofu kabisa na wapwazi tungekuchangia tatizo lako mchoyo.
Msimamo mpwa as from today am a single lady, nimempiga kibuti jana after the ushauriz, thanks to you all, kazana tu huko uswazi.
 
hii kesi ataijibu KAIZER!mimi unanionea bure mpwaaz!kaizer ana kesi ya kujibu.

hata hivyo kuna kifaa kinaitwa PRISCA...!kaizer atakupa movie nzima

Kesi ndogo sana hii mpwa! hicho kifaa unachozungumzia hala hala chaja ya kobe!
 
Back
Top Bottom