Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,287
- 10,842
Akiendelea na tabia nzuri nazaaa nae mtoto kabisa
Kama unataka kufaidi kijumla si uoe tu mkuu?? Usikute ni ile product ya uwanja wa fisi!!! Lete raha, ponda raha kufa kwaja.
Akiendelea na tabia nzuri nazaaa nae mtoto kabisa
Kuna msemo usemao kwa rijali kumeenda kilio lakini kwa h:?>%$^& kumeenda kicheko upo hapo kaka????acha woga kijana!...........
Noted with many thanks and filed for future reference! Umekula Senksi pale! Kakague kama una moyo mgumu wa kuamini kudadadeki!