Nimekamatika uswazi

Msimamo mpwa as from today am a single lady, nimempiga kibuti jana after the ushauriz, thanks to you all, kazana tu huko uswazi.

Hongera sana, lakini mm huyu wa uswazi napumnzika tu sijaweka hadharani kama ndo namweka ndani hapa nabanjuka tu na mikhiki mikhiki ya week end si unajua tena kunyooooooooosha viungo.
 
Msimamo mpwa as from today am a single lady, nimempiga kibuti jana after the ushauriz, thanks to you all, kazana tu huko uswazi.

Noted with many thanks and filed for future reference! Umekula Senksi pale! Kakague kama una moyo mgumu wa kuamini kudadadeki!
 
Karibu Vivian nakuona kwa mbaaaaaaaali ulinidengulia nimesha pata pumnziko la roho mtoto wa uswazi najua wewe na MaDSTV yako huwezi ukasimama nae kila idara mtoto yupo fiti maswala ya nyonga ndo usiseme.
 
Msimamo mpwa as from today am a single lady, nimempiga kibuti jana after the ushauriz, thanks to you all, kazana tu huko uswazi.

Ohoo sasa hapa unaongea, kumbe walau umetusikiliza. Now that u r single, kuna ndugu zangu walau wawili (Geoff Mmojawapo) anaweza kuingia kipindi hiki cha pili....
 
Kaka chumba cha 12,000 kwa mwezi kina umeme?
 
Ndugu yangu,wewe umefuata pumziko sio au,aliyekamatika hajitambui,jipange sawasawa atahamishiwa sinza utayaweza
 
Hahaha! Mpwaaaz! Naona ushakanyaga breki ya nyuma! LOL!

Dah huyo Prisca alivyo kuwa anazungusha chaji ya Kobe mweh utafikiri wale wa kwenye wimbo wa Bata si unawapata wanavyo zungusha viuno. Tatizo la Prisca anaongea mno, Kaizer almanusra amwage vinywaji mezani.
 
Karibu Vivian nakuona kwa mbaaaaaaaali ulinidengulia nimesha pata pumnziko la roho mtoto wa uswazi najua wewe na MaDSTV yako huwezi ukasimama nae kila idara mtoto yupo fiti maswala ya nyonga ndo usiseme.

Yuko wapi maana na yeye ana kesi ya kujibu nzito sana
 
Msimamo mpwa as from today am a single lady, nimempiga kibuti jana after the ushauriz, thanks to you all, kazana tu huko uswazi.

...MILANGO IKO WAZI MAMA!
karibu kwa geoff!
I AM MPWAAZ FOR THE SINGLE LADIEES
 
Ohoo sasa hapa unaongea, kumbe walau umetusikiliza. Now that u r single, kuna ndugu zangu walau wawili (Geoff Mmojawapo) anaweza kuingia kipindi hiki cha pili....
Hao ndugu zako wamekuambia wanatafuta mchumba WA KUOA, nafikiri wajitangaze wenyewe.
 
Hongera sana mpwa kapimeni, jongea kwenye altare ya bwana uishi maisha ya amani na bila kutenda dhambi. Kila siku najuta kwa nini nilichelewa kuuoa. Nafurahia sana ndoa yangu.
 
Yuko wapi maana na yeye ana kesi ya kujibu nzito sana

kaka hii iko Ndani ya Loitokitok Kenya!! karibu na Tarakea. Niliwasubiri pale Billionaires club ile Tar: 20. nikaona ziii. ilikuaje tena hamkuja?
 
Back
Top Bottom