Nimekamatika kwa penzi la PS wangu, Ushauri wenu please

Nimekamatika kwa penzi la PS wangu, Ushauri wenu please

That's a trap!! Huo ni mchezo na hayo unayoyaona na kuyafanya sasa ndo sumu ya kukuleweshea, mwisho wa siku utajikuta we umezama penzini wkt ye yupo kutimiza maslahi yake. Jiandae kuongeza figures za matumizi yako against mapato yako punde tu akishakuonjesha!

Mapenzi na kazi ni kama mafuta na maji. Kama hujaoa, ongea naye mfanye in a professional way, kwamba mkiwa ofisini mheshimiane na kufanya kazi then mkihitajiana muwe mnafanya yenu nje ya kazi. Angalia pia usije kuotesha kibarua chako nyasi maana wengine wa nafasi hizo huwa wanatumwa ili kupata data na udhaifu wako kiofisi. Only James Bond can play good that game.
 
Ndugu yangu,hayo anayoyafanya haja yaanzia kwako,na wala hayataishia kwako,akili katika boksi lako linaloitwa "KICHWA" ama katika kirungu chako kinachoitwa.....o.ADIOS AMIGO!
 
mtafune bila kondomu maana tumechoka kuona watu mkiomba ushauri kuvunja amri ya sita bila aibu
 
Baada ya kuzama endelea kupiga mbizi ili usifelie humo
 
Huyo PS wako ana mikakati kabambe dhidi yako ndio maana anakutafuta kwa nguvu zote, ingia mkenge uone. Akili kumkichwa.
 
Ifikie wakati wanadamu tujitofautishe na wanyama wa mwituni....tutumie maarifa na akili ambazo muumba ametupatia katika kuyatafutia ufumbuzi matatizo mbali mbali tunayokumbana nayo katika mazingira tunayoishi...changamoto zinazotukabili ni moja ya sehemu ya maisha ya kila siku...hatuwezi kuzikimbia changamoto katika maisha yetu bali tunatakiwa kupambana na changamoto hizo na kuzishinda..

.tumeumbwa na matamanio kwa sababu ya maumbile yetu lakini matamanio hayo yasitufanye kuwa watumwa wa tamaa hata kuanza kuenenda kama wanyama....tuzitumie fahamu zetu vyema....kila siku tumekuwa tukishangaa maendeleo yanavyokwenda kasi katika mataifa ya wenzetu....hata yale ambayo tulikwa nayo sawa kiuchumi kipindi tunapata uhuru sasa yametuacha mbali sana kiuchumi.

..tunaweza tukalaumu uongozi mbovu kwa namna moja au nyingine lakini hata sisi wananchi tunastahili lawama na inabidi tulaumiwe....ikiwa watu wameamua kugeuza ofisini kuwa madanguro ya kufanyia uchafu wao hatupaswi kwenda kupiga ramli kumtafuta mchawi wa maendeleo yetu.....TUMEJIROGA WENYEWE....
 
Miaka 39 huna Familia.... Miaka 39 unamiliki mark x, eti Unafanya ofisi nyeti....umejaa ujinga sana...

Kuwa na familia sio muhimu sana kwasababu formula moja haiwezi kufanya kazi kwa wote.

Ila ni maajabu mtu mwenye 39 unajiita kijana, hujiheshimu halafu unakuja kujisifia humu as if what you are doing is right.

Inaonekana anaishi kisela sana.
 
Back
Top Bottom