Se-ronga
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 650
- 909
Duuh,umenikumbusha tulikuwa na Mkufunzi wetu mmoja aliwahi kutuambia darasani kuwa "Kwa mwanamume rijali PS ktk ofisi yako kama umeshaoa basi huyo ni mke wako wa pili,na kama hujaoa basi huyo ndo mke wako kwa sababu ndo unatumia muda mwingi ukiwa nae.Unless,otherwise una shida"
Na wengi ndo ipo hvo,nasikia hata Rais Mugabe na mzee wetu.........!
Na wengi ndo ipo hvo,nasikia hata Rais Mugabe na mzee wetu.........!