Nimekaa nimejiridhisha huko serikalini hakuna problem solvers

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
5,717
Reaction score
11,917
Mjadala wowote unaohusu kupambanisha dini kwenye masuala mapana ya kitaifa haupaswi kuungwa mkono kwa namna yoyote ile.

Nimejiuliza sana hivi hizi Taasisi kukanusha Habari zenye Ukweli kuwa ni Uongo ni kwa faida au kumlinda nani..?

Tuwe makini kuna ajenda ya udini inasikumwa ku divide and Rule.
 
TISS ni zero Brain
 
Abdul ndo Rais.Yaani wanatumia ile propaganda ya Hitler. Ile sema uongo,na uongo ukisemwa mara nyingi utabadilika na kuwa ukweli.
 
Back
Top Bottom