Nimekaa nikafikiria, nikaona biashara ya matunda itanifaa zaidi

Agnes Madaa

Member
Aug 29, 2023
93
169
1st of all niwashukuru nyoote mliofunguka maoni yenu, truth of all yanatia hamasa na kidogo mtu unapata mwangaza wa kuthubutu

Nimefikia hatua nimeafiki biashara ya kutembeza mchanganyiko wa matunda yaliyokatwa katwa. Hence, siku ya kesho naingia kulangua matunda yangu although nimeshauriwa kuanza na matunda ya 15,000 na best angu hapa. Kesho ntanunua vile vipackage pamoja na deli langu la kuanzia maisha

Jana jioni niliamua kutembelea posta, kariakoo na Sinza kujionea mwenyewe ni wakina nani nitakuwa nawauzia. Very shameful, aibu jamani nyie, but hakuna namna naeza fanya, nitakomaa hivyo hivyo, sijui watanichangia!? 🤔 They are too busy, yaani zaidi ya busy

Naomba kufahamu:
Wapi ni bora zaidi kulangulia? Mabibo au Buguruni?

Vile vifungashio nitavilangulia wapi kwa bei nafuu?

Nianzie kuzungukia wapi na deli langu, Sinza ama Posta? Jamani msinichoke, I need your presence ili nipate ujasiri, natamani hata muongozane na mimi mnipe moyo

Nakwenda kupita mitaa ya Gaza jamani
 
Kwa kiwango cha mtaji ulichonacho ni vema ukazingatia zaidi ukaribu na ubora wa mahitaji usifikirie zaidi katika kulangua.

Nasema hivi kwa sababu kiasi utakachoamini pengine umelangua bado unaweza kujikuta unalazimika kukifidia katika nauli pengine na zaidi.

Kila la heri katika upambanaji wako.
 
kwenye maisha ya utaftaji jifunze tu kuwa social utawin vitu vingi usiwe na EGO ahoo ahaoo wateja wako wapo watakao kufungulia njia Nyingine.ila kwa ushauri wangu kwanin usiuzie kariakoo itakufungulia na Njia ya kujifunza biashara nyingine ushauri tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom