yametimia,aibu zimewafika yamewashuka!!!!! mkomeee !!Ulishawahi kumsikia akiganga njaa na kutengeneza uhasama na watu? Unayemsemea anajielewa. Tatizo ni huyu kijana aliyeshinda ubunge kihuruma huruma halafu anaanza kufanya mambo ya ajabu!
Picture can speak thousands words!!yametimia,aibu zimewafika yamewashuka!!!!! mkomeee !!
Nakubaliana na wewe yametimia, sugu anarudi zake bungeni na ana fixed income kwa kipindi chake cha ubunge kilichobaki. je hao wasanii wengine waliotengeneza uhasama na clouds entertainment maisha yao yatakuwaje?yametimia,aibu zimewafika yamewashuka!!!!! mkomeee !!
Tayari mialiko ya show imemiminika mpaka show zingine wamekataa inabidi wasubili kwanza, ZANTEL wamewapa udhamini wa kufanya show Mbeya, Mwanza, Arusha na Morogoro na wakimaliza mzunguko huo show zinaamia Cape Town na tayari ticket za ndege wameshatumiwa.Nakubaliana na wewe yametimia, sugu anarudi zake bungeni na ana fixed income kwa kipindi chake cha ubunge kilichobaki. je hao wasanii wengine waliotengeneza uhasama na clouds entertainment maisha yao yatakuwaje?
Nakubaliana na wewe yametimia, sugu anarudi zake bungeni na ana fixed income kwa kipindi chake cha ubunge kilichobaki. je hao wasanii wengine waliotengeneza uhasama na clouds entertainment maisha yao yatakuwaje?
Mbeya = suguTayari mialiko ya show imemiminika mpaka show zingine wamekataa inabidi wasubili kwanza, ZANTEL wamewapa udhamini wa kufanya show Mbeya, Mwanza, Arusha na Morogoro na wakimaliza mzunguko huo show zinaamia Cape Town na tayari ticket za ndege wameshatumiwa.
U need to say more?
Rejao ebu changamka ww!! kwan clouds ndo nn bay the way!!! unahisi hao wasanii bila cloud ndo maisha basi tena eehh!!!!khaaa!! kumbe tutarudi wengi utumwani!!!!Nakubaliana na wewe yametimia, sugu anarudi zake bungeni na ana fixed income kwa kipindi chake cha ubunge kilichobaki. je hao wasanii wengine waliotengeneza uhasama na clouds entertainment maisha yao yatakuwaje?
Hawa watu wana network kubwa na promoterz wa muziki wa kizazi hiki. Nafikiri unakumbuka pia baada ya Sugu kukorofishana nao, alipotea kabisa! Hakuwa anasikikia kabisa, hakuwa anapata show yoyote. Bila kupata ubunge sugu kwa sasa angekuwa omba omba mtaani.Rejao ebu changamka ww!! kwan clouds ndo nn bay the way!!! unahisi hao wasanii bila cloud ndo maisha basi tena eehh!!!!khaaa!! kumbe tutarudi wengi utumwani!!!!
Watu wengine ni washamba kweli na nimapunguani, ni Cape town gani unayosema wewe kwamba wabongo sio wengi, tuanzie na Sea point, woodstock, Table view, Brooklyn, Ronderboch, Athlone, kayelisha, Guguletu mitchells plain n:k ni Cape town ipi unayosema wewe hakuna wabongo wengi muongo mkubwa wewe?Mbeya = sugu
Mwanza = Henje n co
Arusha = Lema
Morogoro = Regia
Hii mikoa yote uliyoitaja nimekuonyesha waliowapa mialiko! Naona hawa wameshapata kazi ya kuipromoti CDM!!
Kuhusu cape town...nipo Waterfron kwa sasa..sidhani kama kuna mtu atachezea rand zake kwenda kushuhudia hao wapuuzi. Huku wengi ni whites na wabongo ni wachache sana..whites na miziki ya blacks ya vurugu mbali mbali kabisa!!
Na hapo kwenye RED labda ungewatafsiria wadau hapo ni wapi katika jiji la Cape Town, maana katika kutembea kwangu kote Cape town sijawahi kufika hapo ila niliwahi kufika Victor & Alfread Waterfront.Mbeya = sugu
Mwanza = Henje n co
Arusha = Lema
Morogoro = Regia
Hii mikoa yote uliyoitaja nimekuonyesha waliowapa mialiko! Naona hawa wameshapata kazi ya kuipromoti CDM!!
Kuhusu cape town...nipo Waterfron kwa sasa..sidhani kama kuna mtu atachezea rand zake kwenda kushuhudia hao wapuuzi. Huku wengi ni whites na wabongo ni wachache sana..whites na miziki ya blacks ya vurugu mbali mbali kabisa!!
thethethet!! Jamani mbavu zangu za kushoto zakaribia kuachia miee!!! Rejaoooooooo upoo!????na hapo kwenye red labda ungewatafsiria wadau hapo ni wapi katika jiji la cape town, maana katika kutembea kwangu kote cape town sijawahi kufika hapo ila niliwahi kufika victor & alfread waterfront.
Hahahaha...wewe ni kilaza wa kufa mtu. Yaani ni kama mtu anakuambia Tanzania kuna sehemu inaitwa DAR au DSM unasema hiyo sehemu haipo TZ unasema Tanzania kuna Dae es Salaam. By then, siwezi kubishana na wewe cuz nimeshagundua wewe ni product ya Long Street!Na hapo kwenye RED labda ungewatafsiria wadau hapo ni wapi katika jiji la Cape Town, maana katika kutembea kwangu kote Cape town sijawahi kufika hapo ila niliwahi kufika Victor & Alfread Waterfront.
Cannal Walk..Watu wengine ni washamba kweli na nimapunguani, ni Cape town gani unayosema wewe kwamba wabongo sio wengi, tuanzie na Sea point, woodstock, Table view, Brooklyn, Ronderboch, Athlone, kayelisha, Guguletu mitchells plain n:k ni Cape town ipi unayosema wewe hakuna wabongo wengi muongo mkubwa wewe?
Na siwezi kukushangaa puppet kama maana hata Gerlad Hando leo ameongea kwenye Pewer breakfast mpaka povu limemtoka, huu ndio muziki wa Anti virus with no apology.