Mr Hero
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 5,540
- 7,452
Binafsi nimekosa cha kuongea,
Siasa zetu zimejaa unafiki kwa kiwango cha PhD,
Sikutegemea kama wanasiasa wetu wamekuwa wanafiki mpaka wanakuwa wasahaulifu mapema kiasi hiki,
Mkuu alisema hatashirikisha wapinzani kwenye serikali yake kamwe,
Ajabu kasahau kajisahaulisha au imekuwaje kifupi sielewi,
Kitila juzi tu hapa hata miezi 2 haijapita alikuwa akilalamika Rais anateuwa sana wahadhiri na sasa Kuna upungufu wa wahadhiri, ajabu yeye sijui ni mwalimu wa chekechea au vipi,
Majuzi hapa alikuwa anatokwa povu kwa Rais kwanini hajamtumbua makonda tena akaenda mbali zaidi kuhoji ukaribu wa makonda na Rais una nini?
Sitaki kumzungumzia Zitto kaonyesha unafikia wa Hali ya juu pia, kisa Rais kumteua mkumbo basi amepewa na sifa ya Rais wa kuwaunganisha watanzania Bila kujali vyama vyao,
Jamani sasa mtaniona kwenye michango ya chit chat na MMU
Mods mkiona comment yangu kwenye siasa nipeni BAN