Duh! 😀😀Huyu si ndio yule wa 7800 sio?
Mke hutafutwa/hupatikana popote iwe kanisani, msikitini, msibani, kwenye ngoma, disco, bar n.k. mkuu. Kikubwa wewe una orientation ya wapi maana huwezi pata mke kwenye nyumba za ibada ilihali nyumba yako wewe ya ibada ni bar na disco. Na ukilazimisha vinginevyo yatakukuta ya kukukuta kama hizi nyuzi zako za masikitiko unazotuletea hapa.Hapana mkuu. Mke hatafutwi kwenye social networks
😊😊😊Vipi mzazi mwenzio hayupo tayar kuwa na wew?