Godee jr
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,910
- 2,712
Yes. Niliamua kuacha maisha yangu ya mahusiano na kurudi kwako kuomba turudiane tumlee mtoto wetu.
Nilifuata ushauri wenu mlionipa lakini imeshindikana kurudiana nae.
Rejea huu uzi
Going back to my wife
Tangu niandike huu uzi nimejaribu jitihada zote lakini imeshindikana.
Sikutaka mwanangu alelewe na mtu baki lakini naona jitihada zangu hazina maana kwako.
Umri unakwenda na lazima niwe na familia.
Siwezi kuendelea kusubiri embe chini ya mpera.
Naanza mkakati wa kutafuta mke na Mungu akijalia mwakani nioe