Ila kwa kweli leo mmenifanya niliangalue mara mbili mbili hili furushi langu nililolibeba ninaloliita tumbo na kuwaza kweli mama watoto yuko na mimi kwa mshepu huu au yuko na mimi kwa zile supwr benefit za kustahamilia mtumbo wangu!
Mmenitia stress nyie wahuni leo
Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app