Hiyo ya kwanza 😊😊Hahah...ndio swali inayofuata hiyo
Anyway tufanye ni ile ya kwanza 😘
Hata mie nilikumiss mtu nane
Nikawaza kukuPM nikasema hapana...hebu ngoja nivute vute kidogo labda utanikumbuka 😁
Kwema lakini?
Hiyo ya kwanza 😊😊Hahah...ndio swali inayofuata hiyo
Anyway tufanye ni ile ya kwanza 😘
Hongera mkuu 🤝yes few times nilipost simu nikapata mteja
🤝Hongera kwa kutumia mitandao ya kijamii kama fursa
Hiyo ya kwanza 😊😊
Hata mie nilikumiss mtu nane
Nikawaza kukuPM nikasema hapana...hebu ngoja nivute vute kidogo labda utanikumbuka 😁
Kwema lakini?