salumu mitema
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 241
- 82
ndiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh

Wasalimiendiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh
ndiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh
ndiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh
Mkuu umefanya maamuzi Mema sana.
Inaonekana ulifuata helicopiter wewe!
Wengine tupo toka 2000 na hatuondoki ng,o maana tunajua wapi tumetoka,tupo wapi na tunaenda wapi.