Nimejikuta nacheza na majoka

Nimejikuta nacheza na majoka

NATA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2007
Posts
4,492
Reaction score
1,313
Usiku nimeota nacheza na majoka
Mh sasa jioni inafika naanza kuogopa lol!

Hii ni ndoto!kwanini napata woga hivi?
 
Usiku nimeota nacheza na majoka
Mh sasa jioni inafika naanza kuogopa lol!

Hii ni ndoto!kwanini napata woga hivi?

Nyoka niaminivyo mimi ni Ishara ya shetani....Kabla hujalala hakikisha umemwomba mungu akupatie ulinzi wa malaika, hutaota tena ndoto kama hizo ila utapewa ndoto zenye utukufu na mafundisho.
 
unalala peke yako? i mean unaishi pekeyako? kama ndivyo leo usilale pweke ndoto nyingine sizo kabisa
 
Nyoka niaminivyo mimi ni Ishara ya shetani....Kabla hujalala hakikisha umemwomba mungu akupatie ulinzi wa malaika, hutaota tena ndoto kama hizo ila utapewa ndoto zenye utukufu na mafundisho.

Thanks Tamatheo !
 
Last edited by a moderator:
Kucheza na nyoka,,inategemea ni aina gani ya nyoka kama ni joka kubwa it means lucifer anataka kuharibu ur destiny aka kukuchezea
 
Kucheza na nyoka,,inategemea ni aina gani ya nyoka kama ni joka kubwa it means lucifer anataka kuharibu ur destiny aka kukuchezea

Haswa tena likubwa mno.
Ashindwe katika jina la yesu!
 
Siyo unacheza na nyoka, wamekutumia majini kwenye ndoto ukaona unacheza na nyoka. chukua hatua kabla hujaanza kuchezeshwa music wake, vnginevyo utacheza na nyoka na sumu yake.
 
Uwe unasali sana kabla ya kulala...JOKA kiroho ni ishara ya mashetani tena ya ngazi ya juu sana(watu wa kiroho wanafahamu hii kitu)...hapa sio ishu za uchawi ila ni mambo ya kiroho mazito mno...inabidi utafutie ufumbuzi wa haraka....hasa kwenye maombezi
 
Pole... ukiRosa silaha zote hapo juu ulizoshauriwa, nunua hata kapanga ulale nako ...
 
Usiku nimeota nacheza na majoka
Mh sasa jioni inafika naanza kuogopa lol!

Hii ni ndoto!kwanini napata woga hivi?

It simply means una maadui very powerful na wako close kukushukia..
be prepared
 
Ushauri wa Chimbuvu na wengine hapo walio kushauri kumtanguliza Yesu kabla ya chochote una apply.
 
Last edited by a moderator:
Nimewakosea nini tena?

Hasidi haihitaji sababu..umewahi sikia huo msemo?

wewe huna maadui?
kiofisi,kibiashara?
kijamii?

na kukushukia sio lazima vitu vya kuonekana
hata ushirikina pia waweza tumika
 
Pole sana huwenda kuna ubaya unakujia. Muombe Mungu kwani yeye ndo muweza wa yote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom