Mathayo 10: 36 na adui za mtu ni wale wa nyumbani mwake.
Zaburi 55:12 Kwa maana aliyetukana si adui;
Kama ndivyo, ningevumilia.
Aliyejitukuza juu yangu siye anichukiaye;
Kama ndivyo, ningejificha asinione.
13 Bali ni wewe, mtu mwenzangu, Rafiki yangu, niliyejuana nawe sana.
14 Tulipeana shauri tamu; na kutembea Nyumbani mwa Mungu pamoja na mkutano.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.