Nimejikuta BP iko juu mpaka kulazwa

Mungi duh wewe naona una hamu sana ndoa yangu ivunjike kabisa
Mwache kwanza Dena Amsi apone bana hayo mengine tutayajadili kama kamati kuu ya CC
Maana hata Baba V hana taarifa na mabadiliko yoyote so tusimwamshe aliko lala

Afu nimekuona upo na FP mda huu huu............... mbona utamwua Dena Amsi kwa presha bana?
 
Last edited by a moderator:
Niombeeni ni matokeo ya Stress za wanaume nyie lakini nyie aaahhh

Nasikia kulala sababu ya dawa na sindano za kujaribu kushusha BP

Niombeeni wapendwa.

DA

Updates

Wapendwa nawashukuruni woote asanteni sana muendelee kuniombea bado niko Hospital ila imetolewa kwnye oksijemi.

Mungu awabariki sana

:doh: yaan mpaka uliwekewa oksijeni kisa pressure ya mwanaume??????????? Pole sana "wanaume hawa" basi tu.......
 
Niombeeni ni matokeo ya Stress za wanaume nyie lakini nyie aaahhh

Nasikia kulala sababu ya dawa na sindano za kujaribu kushusha BP

Niombeeni wapendwa.

DA

Updates

Wapendwa nawashukuruni woote asanteni sana muendelee kuniombea bado niko Hospital ila imetolewa kwnye oksijemi.

Mungu awabariki sana

pole sana dear......mimi ikinitokea hivyo....huwa siruhusu BP..Engen....Shell wala Oryx vinipate......ni kula bata kwa kwenda mbele na kumdharau tu ze maksimam.....tupa kule hiyo.......
 
Jamani mwanamme gani huyu anayekupa stress kiasi hiki mpaka unalazwa
Jesus nathubuti kusema hakufai na hakuhurumii..nilikuwa kama wewe zamani naumwa mpaka nahisi sasa nakata roho
Ila thanx god nimepata ujasiri hasa baada ya mtu mmoja kuwa ananikazania kuniambia hebu jifunze kujipenda wewe kwanza
pole mpenzi asikwalibie 2012
 
pole sana dear......mimi ikinitokea hivyo....huwa siruhusu BP..Engen....Shell wala Oryx vinipate......ni kula bata kwa kwenda mbele na kumdharau tu ze maksimam.....tupa kule hiyo.......

Preta kuna wakati inakuwa ngumu wengine hawana vifua vya kuyabeba
hahaha unaenda Bar unakunywa Tusker haishuki pole Dena.
 
Back
Top Bottom