Nimejikuta BP iko juu mpaka kulazwa

Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,082
4,265
Niombeeni ni matokeo ya Stress za wanaume nyie lakini nyie aaahhh

Nasikia kulala sababu ya dawa na sindano za kujaribu kushusha BP

Niombeeni wapendwa.

DA

Updates

Wapendwa nawashukuruni woote asanteni sana muendelee kuniombea bado niko Hospital ila imetolewa kwnye oksijemi.

Mungu awabariki sana.

Updates

Wapendwa naendelea vizuri kidogo asanteni kwa maombi yenu wooooooote Mungu aabariki ila sijatoka Hospital bado nimelazwa
 
Niombeeni ni matokeo ya Stress za wanaume nyie lakini nyie aaahhh

Nasikia kulala sababu ya dawa na sindano za kujaribu kushusha BP

Niombeeni wapendwa.

DA

jamani dadangu Dena Amsi pole sana nakuombea upone haraka........................... afu ungekuwa sio dadangu ningekuliwaza mpaka BP inashuka bila sindano wala kidonge.
kama hautojali nidipu kwa PM
 
Last edited by a moderator:
Niombeeni ni matokeo ya Stress za wanaume nyie lakini nyie aaahhh

Nasikia kulala sababu ya dawa na sindano za kujaribu kushusha BP

Niombeeni wapendwa.

DA

Usipende kumchunguza mmeo utakufa siku si zako shauri yako.
 
Niombeeni ni matokeo ya Stress za wanaume nyie lakini nyie aaahhh

Nasikia kulala sababu ya dawa na sindano za kujaribu kushusha BP

Niombeeni wapendwa.

DA

Dah,thread ya pili ya stress hapa CC kwa siku ya leo!
Pole Dena Amsi,
Mungu wa mbinguni katika jina la Yesu akuponye.
 
Last edited by a moderator:
Hao wanaume wamekufanyaje?...wamekukaba au??
anyway pole sana....
 
Sio mwisho wa dunia, na kumbuka it could have been worse.
Inuka, maisha yako ni ya thamani zaidi na ni zaidi ya kupendwa na ungrateful guy like huyo.
 
Back
Top Bottom