Haya nakusikiliza Mama,,,, sema unachotaka.......acha kununa
Kwenye ndoa hakuna sumu kama kushindana na kulipizana kisasi. Ukishaona umeoa mwanamke wa namna hii ni bora uachane naye tu. Mbaya zaidi anaweza kukuhisi umetoka nje ya ndoa kumbe ni hisia zake tu na zile hisia potofu zinamtuma kulipa kisasi, anakwenda kugawa kwingine.Ogopa sana kuishi na mwanamke ambae ukimfanyia makosa husamehe usoni lakini moyoni anawaza kulipiza kisasi kwa kosa lile lile ulilolifanya. Hapo mnakua hamfanyi maisha ya kuongozana bali ni KUSHINDANA.
taaluma yake inaingiaje hapa sasa??28 mpaka 30 halafu ni mwalimu sasa. hakuna namna
alizungumzia mwandiko mbovutaaluma yake inaingiaje hapa sasa??
Mpe hicho anachokitaka kwanza kumtoa wenge ndiyo umpe huo ushauri wako vinginevyo hakuelewi kabisa.Huu ni mtihani mkubwa tunaopata sisi wafariji.
Kwa week sasa huyu dada yangu wa hiari nimekuwa nikimpa ushauri nasaha baada ya kupigwa tukio na mmewe. Nimekuwa nikimtia moyo apuuze na amsamehe mumewe.
Haiba yake anaonekana kunielewa, lakini ukisoma hisia zake za ndani kabisa unaona ni mtu anayenivizia anipe mzigo kulipa kisasi.
Lengo langu ni kutaka kuwashauri dada zetu humu mlioolewa. Acheni kulipa visasi mkipigwa matukio, kwa sababu havitakusaidia.