MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 29,857
- 150,869
Halafu hawa walimu wanawafundisha wadogo zetu kuandika hivyo.28 mpaka 30 halafu ni mwalimu sasa. hakuna namna
Halafu hawa walimu wanawafundisha wadogo zetu kuandika hivyo.28 mpaka 30 halafu ni mwalimu sasa. hakuna namna
Mbona umefunga PM ?.Unachekelea mbususu🤣🙌
unaumwa wewe[emoji848]View attachment 2282409
maana yake unagawa kificho,ukiachika inakuwa hadharaniSiwez ila nikiachika naigawa yote
Hahaha ndio maana kila mtu anatembea na ya kwake, ni kuomba Mungu upate muaminifu tuacha upuuzi wewe! vya mwanamke vyote vyangu ndo hi hatimiliki yetu wanaume, sisi tunakabidhiwa nyinyi.
Na libolo linamilikiwa na mke, lakini kutwaaaaa linahangaika mitaaniKisheria mbususu inamilikiwa na mume. ndio maana huruhusiwi kuigawa nje
Mbona kama Yu wishi ungebi yu eti. 😅Dah! ..
Narudia,SIWEZImaana yake unagawa kificho,ukiachika inakuwa hadharani
🤔Mbona umefunga PM ?.
😶Sijasema ivona inaonesha huwa unajitahidi hadi X ajue mali yake ishaliwa.
🤣Leo mbona hujanitafutia zaga jipya?Dagaa huwa ni watamu sana,,,,kama hautazingatia Harufu ya Pilau la jirani....
....Mm nipo...Wakati wowote ukihitaji connection usisite kunijulisha..... Na kama kuna unayemzimia humu fanya Uje PM unitonye nikupigie pasi..Leo mbona hujanitafutia zaga jipya?
Mtu akiwa tu anatumia x badala ya s,unajua hii chenga huitaji hata la nne CHuu ni mtihani mkubwa tunaopata sisi wafariji.
Kwa week sasa huyu dada yangu wa hiari nimekuwa nikimpa ushauri nasaha baada ya kupigwa tukio na mmewe. Nimekuwa nikimtia moyo apuuze na amsamehe mumewe.
Haiba yake anaonekana kunielewa, lakini ukisoma hisia zake za ndani kabisa unaona ni mtu anayenivizia anipe mzigo kulipa kisasi.
Lengo langu ni kutaka kuwashauri dada zetu humu mlioolewa. Acheni kulipa visasi mkipigwa matukio, kwa sababu havitakusaidia.
😏Kwani lile la awali umemalizana nalo tayari....??....Mm nipo...Wakati wowote ukihitaji connection usisite kunijulisha..... Na kama kuna unayemzimia humu fanya Uje PM unitonye nikupigie pasi....Nikusaidie upate mtu ukazimalize hizo....
KabisaAna umri gani? Mtu anayetumia X badala ya S anachefua jamani..
Unanipa ugumu wa kukufikia japo sio sana !! Show me the way !!!