bubblymolly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 499
- 715
Ana umri gani? Mtu anayetumia X badala ya S anachefua jamani..
Na asiyemalizia maneno… kwang ndo nini?
Ana umri gani? Mtu anayetumia X badala ya S anachefua jamani..
Jifanye Shabaab tu kwa wake za watu ila kuna siku utakuwa shamaam.Ningekuwa mimi nakula napita hivi
Mbususu tamu banaaUnachekelea mbususu🤣🙌
Shabib?Jifanye Shabaab tu kwa wake za watu ila kuna siku utakuwa shamaam.
Wewe unaweza kutoa mbususu ya mumeo?Unachekelea mbususu🤣🙌
Hivi huwa ni ya mume/ muke? Nachojua mume ana jihogo lake na mke ana mbususu yake. Kuoa au kuolewa sio kumilikishana viungo vya mwinginewewe unaweza kutoa mbususu ya mumeo?
Na wewe pia umeshindwa kurekebisha ilo kosa 😂28 mpaka 30 halafu ni mwalimu sasa. hakuna namna
Siwez ila nikiachika naigawa yotewewe unaweza kutoa mbususu ya mumeo?
AsanteSiwez ila nikiachika naigawa yote
Na huo ndio uwanaume sheikhNingekuwa mimi nakula napita hivi
Mbona kama unamshauri binti wa sekondari, ndio wana mikogo ya kugeuza s kuwa x
Kisheria mbususu inamilikiwa na mume. ndio maana huruhusiwi kuigawa njeHivi huwa ni ya mume/ muke? Nachojua mume ana jihogo lake na mke ana mbususu yake. Kuoa au kuolewa sio kumilikishana viungo vya mwingine
Dagaa huwa ni watamu sana,,,,kama hautazingatia Harufu ya Pilau la jirani....Unachekelea mbususu🤣🙌
acha upuuzi wewe! vya mwanamke vyote vyangu ndo hi hatimiliki yetu wanaume, sisi tunakabidhiwa nyinyi.Hivi huwa ni ya mume/ muke? Nachojua mume ana jihogo lake na mke ana mbususu yake. Kuoa au kuolewa sio kumilikishana viungo vya mwingine
na inaonesha huwa unajitahidi hadi X ajue mali yake ishaliwa.Siwez ila nikiachika naigawa yote
[emoji23][emoji23]Ana umri gani? Mtu anayetumia X badala ya S anachefua jamani..
fursa ya kimasihara hiyo!Huu ni mtihani mkubwa tunaopata sisi wafariji.
Kwa week sasa huyu dada yangu wa hiari nimekuwa nikimpa ushauri nasaha baada ya kupigwa tukio na mmewe. Nimekuwa nikimtia moyo apuuze na amsamehe mumewe.
Haiba yake anaonekana kunielewa, lakini ukisoma hisia zake za ndani kabisa unaona ni mtu anayenivizia anipe mzigo kulipa kisasi.
Lengo langu ni kutaka kuwashauri dada zetu humu mlioolewa. Acheni kulipa visasi mkipigwa matukio, kwa sababu havitakusaidia.