babake nasreen
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 703
- 492
Habari jamvini.
Mimi nikiwa member wa jf toka 2013, nilikuwa nafatilia mambo mengi humu toka kwa watu mbalimbali, kwakweli nimepata faida ya kujifunza mambo mengi sana ikiwemo hekima na staha, haswa ukifatilia mm nilikuwa mkorofi kidogo mpk kufikia kumtundika mtu mimba mapeema tuu ikiwa mm ni bado kijana mdogo, ila najivunia huyo binti yangu.
Lkn nimejifunza mengi sana humu ikiwemo siasa safi, asanteni waungwana.
Its me young dady (Nasreen dady)°
Jiandae kujibu swali hilo vizuri kabisa.
Afadhali kaka umemuelewesha huyu chiefAlibadili ID ni kama mimi nipo humu tangu 2010.
Ana miaka 3. 5Nasreem ana umri gani sasa hivi?
Hongera kwa kuijua siasa safi!!Habari jamvini.
Mimi nikiwa member wa jf toka 2013, nilikuwa nafatilia mambo mengi humu toka kwa watu mbalimbali, kwakweli nimepata faida ya kujifunza mambo mengi sana ikiwemo hekima na staha, haswa ukifatilia mm nilikuwa mkorofi kidogo mpk kufikia kumtundika mtu mimba mapeema tuu ikiwa mm ni bado kijana mdogo, ila najivunia huyo binti yangu.
Lkn nimejifunza mengi sana humu ikiwemo siasa safi, asanteni waungwana.
Its me young dady (Nasreen dady)°
Mimi nasapoti kiongozi safi tuu basiHongera kwa kuijua siasa safi!!
Sasa hivi upo chama gani?
NikweliHuku kuna vitu vya msingi sana vya kujifunza