Nimejaribu nimeshindwa

Kuamini kwamba kuna kitu kinaitwa mungu......NIMEJARIBU, NIMESHINDWA
Tubu moyoni mwako mapema, chezea na fanya utani na kila kitu lakini sio Mungu...Halafu Biblia inasema Hivi,"MPUMBAVU AMEJISEMEA MOYONI MWAKE KUWA HAKUNA MUNGU".
 
Tubu moyoni mwako mapema, chezea na fanya utani na kila kitu lakini sio Mungu...Halafu Biblia inasema Hivi,"MPUMBAVU AMEJISEMEA MOYONI MWAKE KUWA HAKUNA MUNGU".
Ni kweli kabisa hakuna mungu. Kuamini uwepo wake ni kupoteza wakati na pia ni uvivu wa kufikiria. Shtuka unaibiwa wewe
 
Kusikiliza station tofauti na Clouds fm,nmejaribu nimeshindw
 
Mashariti ya kuchangia mada, nimejaribu nimeshindwa.
 
Poleee wengne twaweza
 
kumaliza gem na goli 1.....NIMEJARIBU NIMESHINDWA
naugwadu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…