Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,601
- 10,097
UZI unahusu kuish na mwanamke na sio kumjua mwanamkeHaya yote ni marudio mkuu,mwanamke hana fomula.ishi naye unavyoweza ww kuishi naye.kila mwanamke ana style yake ya maisha
In short sio mwanamke tu hata wanaume hawaelewekiMwanamke ni kiumbe asiyeeleweka na ikitokea umemuelewa ujue unakaribia kufa
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wewe huwez ila wako wanaishi nao vizuri tu in short hakuna tabia ambayo mwanamke anayo haiwez kuvumilika isipokua umalaya tuVipi kwa Hawa wanawake wanaorapu unaishije nao
Hii ni forum watu wanaelezea mawazo yao unaweza ukapotezea kilichoandikwa una uhuru huoHayo mambo ni mengi mno, ni bora uishi unavotaka wewe, then ujitambue wewe ni kichwa cha familia yeye ni msaidizi, so ishi maisha yako
Hata me nimeona Mkuu embu atuambie jibu lingine la kumpa kama hauna hela 🤨Kama huna hela usimuambie huna ? Haupo serious ndugu
Au anataka tuwambie kuna mchango unaiskiliziaHata me nimeona Mkuu embu atuambie jibu lingine la kumpa kama hauna hela
hawa wa sa hivi wanakwambia nipe na mimi huo mchongo tusikizie wote🧐Au anataka tuwambie kuna mchango unaiskilizia
Wanawake wa sahiv waambie huna hela mara kadhaa kuna mwanaume flani huwa anampa vizawadi na anamtongoza kuwa na uhakika atamkubaliHata me nimeona Mkuu embu atuambie jibu lingine la kumpa kama hauna hela 🤨
Ni Kweli kipenz mm pia Huwa nakupenda ninacho ngoja nikiweke hapaKuna hiki kitabu MEN ARE FROM MARS WOMEN ARE FROM VENUS nikijaribu kukiweka kinagoma.....Hakika mwanaume na mwanamke ni watu wawili ambao wametoka katika sayari tofauti, wapo tofautiiii kabisa maisha ya Mars na Venus tofauti kabisa, sasa ndio tumekuja kwenye Earth kuishi pamoja. Unadhani ni rahisi?? Sio rahisi any way kitabu ni kizuri kuna miongozo mizuri sana ya mahusiano, ukikisoma kuna mambo utapata kuyaelewa kwanini mwanamke yupo hivyo alivyo na kwanini mwanaume yupo hivo.
Moja kati ya concepts nilizozipenda na kuzielewa na zimenichekesha "MEN ARE LIKE RUBBER BANDS" "and " WOMEN ARE LIKE WAVES" Unazijua tabia za rubber band?? Unajua tabia za waves?? Kuna mambo ukiyaelewa basi hata kukusumbua inakua ni kidogo mnooo