Abel hamis
Member
- Jan 16, 2016
- 13
- 3
Kasome mambo ya research, mambo ya business registration and licencing, meaning of logo, copyright, trade mark, branding, na mambo kama hayoHello wana JF nimeitwa kwenye usahili tar 23 july ya maandishi, kwenye post ya LICENSING OFFICER II na REGISTRATION OFFICER II, so nilikua naomba msaada nisome au nipitie sehemu zipi ili nifaulu huo mtihani.
Asanteni!!
1600Wanakuja mwanangu ila utatoboa kweny usahili mpo wangpi
750,000tsh.Samahani,hii salary scale ya brs 6.1 ni sawa na tsh ngap?
Soma mambo ya trade mark ,patent,copyright ,bussness registration and bussness licence.........pia unatakiwa ujue Brela imeanzishwa na sheria ipi.....kila la kheri mkuuHello wana JF nimeitwa kwenye usahili tar 23 july ya maandishi, kwenye post ya LICENSING OFFICER II na REGISTRATION OFFICER II, so nilikua naomba msaada nisome au nipitie sehemu zipi ili nifaulu huo mtihani.
Asanteni!!
750,000tsh.
Kasome mambo ya research, mambo ya business registration and licencing, meaning of logo, copyright, trade mark, branding, na mambo kama hayo
Kama yapi boss wangu kwa kada ulogonga wewe🤔mkuu leo naona watu wanalia na research kuanzia waliofanya licence reg,reg offficer na assistnt reg ni mwendo wa research tu daaaah jamii forums long live mule mule maswali
Maswali gani waliletamkuu leo naona watu wanalia na research kuanzia waliofanya licence reg,reg offficer na assistnt reg ni mwendo wa research tu daaaah jamii forums long live mule mule maswali
maswali rahisi halafu hujui namna ya kuyajibuMaswali yalikuwa manne tu. Halafu yote ni rahisi
ukiwa nje ya uwanja utadhani mhadhiri haya waone hawa vilaza maana watanzania tuna mambo kwelimaswali rahisi halafu hujui namna ya kuyajibu