Nimeitwa kwenye usahili wa BRELA. Je, ni masuala gani natakiwa nipitie?

Abel hamis

Member
Jan 16, 2016
13
3
Hello wana JF

Nimeitwa kwenye usahili tarehe 23 Julai ya maandishi, kwenye post ya LICENSING OFFICER II na REGISTRATION OFFICER II

Nilikua naomba msaada nisome au nipitie sehemu zipi ili nifaulu huo mtihani.

Asanteni!!
 
Hello wana JF nimeitwa kwenye usahili tar 23 july ya maandishi, kwenye post ya LICENSING OFFICER II na REGISTRATION OFFICER II, so nilikua naomba msaada nisome au nipitie sehemu zipi ili nifaulu huo mtihani.

Asanteni!!
Kasome mambo ya research, mambo ya business registration and licencing, meaning of logo, copyright, trade mark, branding, na mambo kama hayo
 
Soma mambo ya trade mark ,patent,copyright ,bussness registration and bussness licence.........pia unatakiwa ujue Brela imeanzishwa na sheria ipi.....kila la kheri mkuu
 
aise maisha ya sasa magumu sana, yaani chuo unateseka na handout unakuja mtaani unakutana na rungu la utumishi poleni sana wanafunzi wa sasa...
 
mkuu leo naona watu wanalia na research kuanzia waliofanya licence reg,reg offficer na assistnt reg ni mwendo wa research tu daaaah jamii forums long live mule mule maswali
Kasome mambo ya research, mambo ya business registration and licencing, meaning of logo, copyright, trade mark, branding, na mambo kama hayo
 
mkuu leo naona watu wanalia na research kuanzia waliofanya licence reg,reg offficer na assistnt reg ni mwendo wa research tu daaaah jamii forums long live mule mule maswali
Kama yapi boss wangu kwa kada ulogonga wewe🤔
 
Kuna rafiki yangu alipiga paper la eGA la web developer na akasema paper lilikiwa jepesi mno kwake. Ila matokeo kutoka kesho yake alikuwa hajavuka wastani. Na kwa jinsi ninavyomjua akisemaga paper rahisi ujue ni uhakika kwake. Sasa swali ni, je hiyo mitihani ya watu wengi huwa UTUMISHI wanasahisha kweli ndani ya muda huo mfupi au ni mwendo wa kupika alama huku wakiwapa watu wanaowajua first priority wavuke kwenda hatua nyingine?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom