Kwanza kabisa hongera sana kwa kufikia hatua hiyo muhimu, pili jiandae na hakikisha rural development as a course unaijua vizuri maana maswali yatatoka hapo,pia hakikisha unaijua research kiundani maana wanapendelea kutoa research,tatu hakikisha unajua walau hata job responsibilities Tano za hiyo kazi yaani usitunge hakikisha umemeza kama zilivyo kwenye advert. Mwisho kabisa Muombe Mungu na Jiamini.Habarii wanajamvi mimi bhana nimeitwa kwenye interview Tutor (Rural development), na ni mara yangu ya kwanza na Inafanyika jumatatu sijui hili wala lile... kwa wenye uzoefu basi na hizi mambo mtufungue na sisi pakuanzia na kuishia... jamani
Amina kubwa kakaKwanza kabisa hongera sana kwa kufikia hatua hiyo muhimu, pili jiandae na hakikisha rural development as a course unaijua vizuri maana maswali yatatoka hapo,pia hakikisha unaijua research kiundani maana wanapendelea kutoa research,tatu hakikisha unajua walau hata job responsibilities Tano za hiyo kazi yaani usitunge hakikisha umemeza kama zilivyo kwenye advert. Mwisho kabisa Muombe Mungu na Jiamini.
Fanya maandalizi ya uhakika kwenye "topic" moja inayohusu kozi unayoomba, pia jiandae kufanya "presentation" /kufundisha kisha kujibu maswali ya hao watakao kuwa kwenye "panel".Habarii wanajamvi mimi bhana nimeitwa kwenye interview Tutor (Rural development), na ni mara yangu ya kwanza na Inafanyika jumatatu sijui hili wala lile... kwa wenye uzoefu basi na hizi mambo mtufungue na sisi pakuanzia na kuishia... jamani