Nimeitwa Discussion!

Siku hizo ukinunua TV kufunga antenna ni kazi kama kazi nyingine, niliitwa kwenda kumfungia bidada mmoja Tv na antenna yake (installation).

Nagonga mlango najibiwa nipite mlango uko wazi. Hamaaad nakuta kalala sampuli kama hiyo na kijimtandio, sikumbuki vizuri kama nilimrukia au nilimdandia au vipi, ila nakumbuka mpaka jioni nilikuwa hoi, tatu kama bolo yeung
 
Loooh
 
Balaaa ...
 
Yaani eeh aah nimepata kigugumizi cha gafla.
 
hahaha umenikumbusha mbali kidogo aiseee..hizi mambo ya discussion bhana
 
Discussion za hivi zilinipa wakati mgumu sana
 
Dah,hapo Mama Ndali lazima awape "O"plus.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…