Qurie
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 3,642
- 3,868
Unaweza kujikuta mnachart na mshua wa chattle anatetea hoja kuaina
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kujikuta mnachart na mshua wa chattle anatetea hoja kuaina
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu hata yeye inabidi tumpe sifa zake.
Raisi wa nchi kutamka kwamba watu watumie mitishamba wakati wengine asilimia kubwa duniani wanasisitiza tiba ya kisayansi...hili linahitaji roho ya chuma na kujitoa ufahamu.
Hongera mzee wa Chattle
Mkuu Culture Me usisite kutusaidia kwenye hili ukipata wasaaAhsante sana nakuamini sana ujue among very few jf members
Tafadhali naomba unipe mchanganyiko na maelezo sahihi ya namna ya kutumia kama hutojali maana nimepitia sehemu nyingi michanganyiko tofauti tofauti,
Mkuu tatizo siyo ujinga, shida Ni kwamba watu wanamatatizo Sana na mengi nchi hii. Tatizo kubwa hatuna sehemu ya kwenda ya uhakika. Ambapo ukifika unajua tatizo langu litakwisha kabisa. Ni katika Hali hiyo, kila utakalo ambiwa unajaribu ili kutetea uzima/afya maana huna sehemu ya kwenda ukapata tiba bila kigugumizi.Hik nchi kila mtu ni daktari, kila mtu ana dawa ya kutibu corona na magonjwa sugu.
Ubaya ni kua ukiwa mgonjwa au uko na mgonjwa unakua so desperate unakubali kila unalowambiwa. Hata ukiambiwa uchemshe mavi unywe supu yake unachemsha.
Ujinga bado ni tatizo kubwa sana Tanzania.
mkuu namimi pia nasubiri wataalam wa hizi mambo wakuje.Kiongozi naomba nipe process nzima na idadi kamili ya miti uliyo changanya sababu umesema kuwa ulimpelekea Tangawizi,karafuu,mwembe(hujasema ni mizizi,majani au magome),na mchai chai.
Kiufupi hujafafanua vizuri fafanua vizuri hata mtoto wa darasa la tatu akisoma anaelewa na anaweza ku practice.
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nayo km huiamini.Hik nchi kila mtu ni daktari, kila mtu ana dawa ya kutibu corona na magonjwa sugu.
Ubaya ni kua ukiwa mgonjwa au uko na mgonjwa unakua so desperate unakubali kila unalowambiwa. Hata ukiambiwa uchemshe mavi unywe supu yake unachemsha.
Ujinga bado ni tatizo kubwa sana Tanzania.
Soma vzrWeka formula (ingredients) ya hiyo tiba asili kwa ufasaha zaidi, ili tuone hizo ulizotaja za kileo kama piriton zinavyohusika hapo.
Ucwe mgumu kuelewa, formula ipo juu
wazungu mpaka waje kushitukia waafrika tunatumia hii makitu watakuwa wamepukutika sana ,na walivyo na dharau kwa ngozi nyeusi watagoma kutumia..
Ukishaumwa utagundua kwamba ulielewa, ila huo muembe nadhani alimaanisha majani.Kiongozi naomba nipe process nzima na idadi kamili ya miti uliyo changanya sababu umesema kuwa ulimpelekea Tangawizi,karafuu,mwembe(hujasema ni mizizi,majani au magome),na mchai chai.
Kiufupi hujafafanua vizuri fafanua vizuri hata mtoto wa darasa la tatu akisoma anaelewa na anaweza ku practice.
Sent using Jamii Forums mobile app