Nimeishia wapi?.....umemshikia chini,basi nikam......

The Don

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
3,499
1,163
Jamaa mmoja alikuwa anawapigia stori ya uongo wenzie jinsi alivomkimbiza swala mpaka akamkamata,alipofika sehemu amemshikia chini mara simu ikaita akaongea kama dk 5 akawa amejisahau wapi alipoishia,akauliza niliishia wapi? Wakamjibu umemshikia chini,akaendelea basi nikamvua nguo wenzie huku wakicheka sana wakamuuliza halafu ikawaje? Akajibu nikafanya nae mapenzi,wakamwambia aaaah kaka si swala acha uongo,akasema basi nikamchuna
 
Yani hapo na we unatufunga kamba eeh yani umepoteza fahamu ukawezaje kuchangia tena,huyo jamaa haikosi ni wewe maana unaonekana una fix
Zimevunjika vipandevipande mkuu. We acha tu, nimecheka mpaka nimepoteza fahamu.
 
hahahahahaaaaaaaaa.....du kama mbavu zingekua na spea ningebadili umezitikisa mno mkuu,ila wepia muongo au...
 
Kwahiyo unamaanisha mi ndo nilikuwa nawafunga kamba?kamba nafunga lakini siyo kihivo mkuu
hahahahahaaaaaaaaa.....du kama mbavu zingekua na spea ningebadili umezitikisa mno mkuu,ila wepia muongo au...
 
Back
Top Bottom