Nimeishi ughaibuni (Ireland) miaka 10, nikachuma pesa huko nikarudi kuwekeza nyumbani Tanzania

Wadada panueni akili achen kupanua mapaja mleta mada anataka mpanue mapaja na kwa mameni iko mamboo kwa mleta mada hawa n wale TUMA KWA NAMBA HII

Kama umesoma kilimo kwann udanganye umesoma uhasibu

HIZI N THREAD ZA KIMKAKATI ZAIDI
 
Kwanini wanafanya hivyo ..? Inaelekea wanahitaji sana vibarua na nguvu kazi?
Jumla gharama mpaka kufika huko ulitumia kama kiasi gani Tzs?
Yeah kazi ni mingi na wahindi ambao ndo cheap labor wamepigwa ban kuingia ..wee andaa Kama M2 tu utafika na pa kulala utapata. Ci unajua mwakani world cup huku
 
Mimi ni mmoja watu ninaoamini hapa duniani hakuna nchi nzuri Kama Ireland(republic of Ireland), hii nchi ni nzuri Sana sijawahi kuona.

Nilienda Ireland kwenye masomo(baada ya kupata scholarship).

Nilipomaliza tu form 6 mwezi February 2008 nikaanza kufanya mishe za kutafuta scholarship, na hatimaye matokeo yalipotoka mwezi wa 5 nilipata bahati ya kwenda Ireland kimasomo na hakika nilitumia vyema nafasi hiyo. Matokeo ya advance yalinibeba.
Nilienda kusoma Agricultural Science

Baada ya kumaliza masomo niliingia mtaani, nilikuwa nishajiandaa nikimaliza nibaki huko hivyo kila kitu nilikuwa nimekiweka sawa.

Kutoka Knyama hadi Ireland haikuwa ngumu kwangu kutoboa kwani nilikuwa nafanya Sana kazi za hapa na pale.

Baada ya miaka 7 niliona matunda ya Kazi zangu, na hivyo hatimaye kurejea nyumbani mwanzoni mwa mwaka 2018. Nikiwa na uhakika wa $350,000 bank.

Huku TZ nilipata kazi kwenye taasisi fulani hivi kubwa, lakini sikuwa na malengo Sana ya kufanya kazi ya kuajiriwa ikiwa tayari nina capital ya kutosha Sana.

Baada ya muda nikiwa kwenye hii taasisi nikaona ni vyema Sasa nikafikiria kuoa, niliwahi pia kuja kuweka tangazo huku jf lakini nasikitika sikupata Mtu sahihi, sikupendezwa nao karibu wote walionitafuta.

Nilifanya kazi kwenye hii kampuni kwa mwaka mmoja nika-resign, na hivyo nikaendelea kuwekeza kwenye kilimo na Sasa ni mmoja wa watu wanaofanya vizuri Sana kwenye kilimo Cha zabibu. Nimeweka mtaji mkubwa kwenye kilimo hiki na faida inaonekana Sana.

Nilichogundua kule ni kwenda kuchuma alafu unarudi bongo kuwekeza, itakulipa Sana.

Assume unarudi na kama million 800, alafu unatumia mil 100 kuwekeza kwenye kilimo, hapo utasahau maisha yote ya Dublin.
Siku moja nitarudi Dublin kutembea na sio kuishi, maisha ni ghali sana ya wenzetu. Kama yangekuwa sio ghali ningerudi bongo na pesa nyingi zaidi. Ila pia inategemea na wewe utaamua kuishi vipi.

Wito kwa watanzania wenzangu mnapoenda kuchuma huko Europe nawaomba mrudi Bongo kuwekeza, miaka 10 inatosha Sana

Mkuu kwanza Hongera sana,Pili
Siikubali hiyo nchi sana tuu...
Hiyo haitifautiani sana Na Uingereza wale wale Wabinafsi!
Nchi nzuri ni Scandnavian Country’s tuu Sweeden,Finland,Norway Ireland hamna kitu mara chache sanaaa kutoboa!
 
Hili picha ni bongo muvi. Sterling kajipaka chillsosi usoni ili tuone kapigana sana kumkabili adui.

Afu sisy pm yako umetia bonge la kufuli!

-Kaveli-
Kaveli, sorry nimechelewa kuona msg yako. Niliifunga sijui nifanyeje ili upewe access, au mimi ndio nikutext?
 
Baada ya miaka 7 niliona matunda ya Kazi zangu, na hivyo hatimaye kurejea nyumbani mwanzoni mwa mwaka 2018. Nikiwa na uhakika wa $350,000 bank.

Huku TZ nilipata kazi kwenye taasisi fulani hivi kubwa, lakini sikuwa na malengo Sana ya kufanya kazi ya kuajiriwa ikiwa tayari nina capital ya kutosha Sana.
Namkumbuka Dr. Shika, sijui yuko wapi
 
Mimi ni mmoja watu ninaoamini hapa duniani hakuna nchi nzuri Kama Ireland(republic of Ireland), hii nchi ni nzuri Sana sijawahi kuona.

Nilienda Ireland kwenye masomo(baada ya kupata scholarship).

Nilipomaliza tu form 6 mwezi February 2008 nikaanza kufanya mishe za kutafuta scholarship, na hatimaye matokeo yalipotoka mwezi wa 5 nilipata bahati ya kwenda Ireland kimasomo na hakika nilitumia vyema nafasi hiyo. Matokeo ya advance yalinibeba.
Nilienda kusoma Agricultural Science

Baada ya kumaliza masomo niliingia mtaani, nilikuwa nishajiandaa nikimaliza nibaki huko hivyo kila kitu nilikuwa nimekiweka sawa.

Kutoka Knyama hadi Ireland haikuwa ngumu kwangu kutoboa kwani nilikuwa nafanya Sana kazi za hapa na pale.

Baada ya miaka 7 niliona matunda ya Kazi zangu, na hivyo hatimaye kurejea nyumbani mwanzoni mwa mwaka 2018. Nikiwa na uhakika wa $350,000 bank.

Huku TZ nilipata kazi kwenye taasisi fulani hivi kubwa, lakini sikuwa na malengo Sana ya kufanya kazi ya kuajiriwa ikiwa tayari nina capital ya kutosha Sana.

Baada ya muda nikiwa kwenye hii taasisi nikaona ni vyema Sasa nikafikiria kuoa, niliwahi pia kuja kuweka tangazo huku jf lakini nasikitika sikupata Mtu sahihi, sikupendezwa nao karibu wote walionitafuta.

Nilifanya kazi kwenye hii kampuni kwa mwaka mmoja nika-resign, na hivyo nikaendelea kuwekeza kwenye kilimo na Sasa ni mmoja wa watu wanaofanya vizuri Sana kwenye kilimo Cha zabibu. Nimeweka mtaji mkubwa kwenye kilimo hiki na faida inaonekana Sana.

Nilichogundua kule ni kwenda kuchuma alafu unarudi bongo kuwekeza, itakulipa Sana.

Assume unarudi na kama million 800, alafu unatumia mil 100 kuwekeza kwenye kilimo, hapo utasahau maisha yote ya Dublin.
Siku moja nitarudi Dublin kutembea na sio kuishi, maisha ni ghali sana ya wenzetu. Kama yangekuwa sio ghali ningerudi bongo na pesa nyingi zaidi. Ila pia inategemea na wewe utaamua kuishi vipi.

Wito kwa watanzania wenzangu mnapoenda kuchuma huko Europe nawaomba mrudi Bongo kuwekeza, miaka 10 inatosha Sana
Big Up Man yaan kiwekeza katika Kilimo Brother u made it napenda sana niwekeze katika kilimo
 
Back
Top Bottom