Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,120
- 8,140
Namkumbuka Dr. Shika, sijui yuko wapi
Nadhani Dr Shika alishatangulia mbele za haki (R.I.P)... if my memory serves me right.
-Kaveli-
Namkumbuka Dr. Shika, sijui yuko wapi
Oh dear!!!Nadhani Dr Shika alishatangulia mbele za haki (R.I.P)... if my memory serves me right.
-Kaveli-
Kwanini hapa JF ni rahisi kumgundua muongo?Au moderator wanatoa siri za watu?Daah mi nimeshagoma kudanganywa huku najiona.
Mkuu hapo sijaelewa sentensi yako vizuri, embu nifafanulie usemi wako huo, kwa njia ya 1kwa1 ama kwa mafumbo, ahsante.Mbona yameshaonekana...usimdharau usiyemjua..lol
Usimdharau usiyemjuaMkuu hapo sijaelewa sentensi yako vizuri, embu nifafanulie usemi wako huo, kwa njia ya 1kwa1 ama kwa mafumbo, ahsante.
Unapatikana nchi gani.?Kuwekeza nyumbani ni muhimu.. Mimi bado niko mpaka nistaff.. Nilishawekeza nyumba na hotel.. Niliangukia pua TIIARA AYII lkn sasa matunda si haba...
Mkuu shate link ya kuapply Visa huko Qatar!!!Yeah kazi ni mingi na wahindi ambao ndo cheap labor wamepigwa ban kuingia ..wee andaa Kama M2 tu utafika na pa kulala utapata. Ci unajua mwakani world cup huku
Duuuu , musimpe za uso mwenzenu. Sio vizuriKwenye huu Uzi Natafuta Mke, Kwa aliye Serious Naomba Tuwasiliane ulisema umesomea Shahada ya Uhasibu
Na kwenye huu Uzi unasema umesomea Shahada ya Agriculture
Haha! uliingia chakaNimeenda fasta kuichomoa LIKE yangu kwenye thread yake. Mamamamamae sana huyu fala....