Nimeipenda

ksenyagwa

New Member
Jan 18, 2011
1
0
Habari Wazalendo!
Mimi nashukuru na kufurahi sana kupata nafasi kwenye forum hii, nimeipenda. Naamini tukiitumia vizuri italeta mafanikio makubwa kwa nchi yetu, kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiroho pia.
Basi na tuitumie vizuri kuelimishana na kushirikishana mambo ya nchi yetu tubalidishe mambo jamani.
Asanteni.
 
Back
Top Bottom