Inaonekana huyu mtu alikuwa mwadilifu tangu ujana wake
Tunaomba mtuwekee ya Kikwete alipokuwa Madrassa
View attachment 140241
sura yake ilionyesha tangu mwanzo ni mtu anaweza kuaminika,hamna bla blaaa
Chezea papuchi weye, sasa hivi sura kama ya ...................Kumbe kabla hajaanza kukimbizana na mambo ya NDOA alikuwa mneneee, mambo ya ndoa yananyong'onyesha bana.....
Chezea papuchi weye, sasa hivi sura kama ya ...................
Inaonekana huyu mtu alikuwa mwadilifu tangu ujana wake
Tunaomba mtuwekee ya Kikwete alipokuwa Madrassa
View attachment 140241
Alikuwa muadilifu ujanani alivyofikia uzeeni uadilifu ukamtoka, naongelea pale alipoamua kuoa, maana amekwenda kinyume na kiapo cha upadri ambacho hakiruhusu kuoa.
Pia tukio lingine linalomuonesha kuvunja uadilifu ni pale alipoamua kuiba mke wa mtu.
Kwahiyo ujanani= bonge la muadilifu
Sasa hivi= kukiuka misingi ya kanisa (kwa kuoa) + kuiba mke wa mtu = NO UADILIFU
Udini at work
![]()
Mtu makini huonekana tangu Ujana wake!! wengine umri huo walikuwa wanakimbizana tu mabarabarani hadi saa tisa alfajiri.
Kumbe ni kweli alisaliti Maagizo ya BWANA MUNGU wetu ya kuwafikisha salama kondoo waliopotea.
Mchungaji akipotea njia kondoo watafikaje!! Ndio maana kondoo wake wote wako mashakani masikini, wangetaka uhakika kama nao wangesaini mkataba wa miaka mitano kuweka pochini 12m/= kila mwezi kama alivyofanya yeyeKumbe ni kweli alisaliti Maagizo ya BWANA MUNGU wetu ya kuwafikisha salama kondoo waliopotea.