Weston Songoro
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,793
- 1,086
Namsifu kwa umakini wake wa kuangalia Kondoo wake! mpaka akaamua kubanjua amri ya sita ha hicho kijitabu alichokishika!
mkuu, ulipaswa kumhurumia badala ya kumsifu
Namsifu kwa umakini wake wa kuangalia Kondoo wake! mpaka akaamua kubanjua amri ya sita ha hicho kijitabu alichokishika!
Mkuu, nikusahihishe hapo. Dr Slaa hajawahi kuoa na wala haujui utamu wa ndoa