"Kura za maoni siyo kigezo pekee cha mgombea wa Chadema kusimamishwa kama mgombea" Source Star tv habari from Kalenga.
Demokrasia maana yake n nn? Kama mgombea hana vigezo anaingiaje kwenye mchakato wa kupigiwa kura ya maoni? Iweje mshindi wa kura za maoni apigwe chini bt wapili ndo asimamishwe kama mgombea?

Kumbe wewe ni mchanga sana kwenye siasa. Basi muachieni Mh.Lowassa kwenye list ya wagombea kuwakilisha chama kuwa mgombea wa Urais halafu uone atakuwa wa ngapi. Pia mbona wabunge wengi wa chama chetu (CCM) hawakuwa wakiongoza kura za maoni? Hii ndiyo hasara ya kujifunza siasa mtandaoni, tena kwenye thread moja tu, halafu unaanza kujifanya mchambuzi na mkosoaji.
na viatu pia vipo duniani.duniani kuna watu !
Ndugu Hamis kigwangala hebu njoo umwage busara zako hapa