englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Mwanangu una akili sana wewehiyo haifai bongo bhana kuna watu wanataka wapate faida mara tano ya bei walonunulia so kubargain muhimu
Amewaweza watu,kuna mabingwa wa kutaka wapunguziwe hahaaa!
mbona mie ni mfalme lakini ku bargain ni muhimu?
Mwanangu una akili sana wewe
Mwanangu una akili sana wewe
Kipipi wako umemtelekeza humpi matumizi kafulia hadi pesa ya bundle nahisi yuko kujitwisha zege ili asongeshe gurudumu la maisha,usijeshanga kaopolewa na mwingine fanya hima.