Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,312
- 40,136
Thats a point
This is bullshit, nini faida ya kuwa tajiri kama huishi kitajiri? huku kwetu TZ ukiwa tajiri kisha ukaisha maisha rahisirahisi tunajua tu kuwa ni utajiri wa kichawi.Nimeipenda hiyo baada ya kuielwa ... naamini nawe ukishaielewa utaipenda!
'The Goal is to be Rich not to Look Rich'
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kwamba hawana matumizi ya ki bosi hao,point ni kwamba kuna haja ya kuwa tajiri ila hakuna haja ya kuonekana tajiriSo point inakuwa nini hasa ya kuwa tajiri wakati huvitumii?