Hakuna Mungu kama wewe bwana aaaah aaaah*4
wa rehema,wa rehema eeheeee
hakuna Mungu kama wewe bwana haaahaaaa
wenzako tupo ktk mazoezi ya praise and worship team ya CC
Haleluyah!!!!!
Hakuna Mungu kama wewe bwana aaaah aaaah*4
wa rehema,wa rehema eeheeee
hakuna Mungu kama wewe bwana haaahaaaa
wenzako tupo ktk mazoezi ya praise and worship team ya CC
Chimbuvu,niunganisheni na mimi tumwimbie Bwana!!
Mume wa mtu huyo.
Ushoga utakufa sasa hv Marry Hunbig.
Madame B kumbuka Marry Hunbig ni mlokole, anamuomba Chimbuvu apangwe kwenye kumtukuza MUNGU. Wivu bhana!
Kuna nini kinaendelea hapa
Mume wa mtu huyo.
Ushoga utakufa sasa hv Marry Hunbig.
Madame B kumbuka Marry Hunbig ni mlokole, anamuomba Chimbuvu apangwe kwenye kumtukuza MUNGU. Wivu bhana!